Video: Maafisa 40 wa Iran Wauawa katika Mashambulizi ya Israel na Marekani

Global Publishers March 1, 2026 0 Comments  Katika mashambulizi ya Jumamosi, 28 Februari 2026, yanayodaiwa kufanywa na Israel na Marekani, takriban maafisa 40 waandamizi wa Iran wameripotiwa kufariki. Miongoni mwa waliothibitishwa: Ayatollah Ali Khamenei – Kiongozi Mkuu wa Iran, aliuawa asubuhi katika ofisi yake. Abdolrahim Mousavi – Mkuu wa majeshi ya nchi, aliuawa katika…

Read More

BAADA YA SADC KUITAJA TANZANIA KINARA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA; KAMISHNA LUOGA ATAKA WATUMISHI KUKUZA MATUMIZI YA NISHATI HIYO

Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga amewataka Watumishi wa Wizara ya Nishati kuendelea kukuza matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini ili kufanikisha ajenda hiyo  ambayo kinara wake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameeleza kuwa ajenda ya nishati safi ya kupikia tayari imeanza kuonesha mafanikio…

Read More

Papa Leo kufanya ziara nchi nne za Afrika

Dar es Salaam. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Pope Leo, anatarajiwa kuanza ziara rasmi katika mataifa manne ya Afrika kuanzia Aprili 13 hadi 23, 2026, ikiwa ni safari yake ya tatu ya kitume nje ya Italia tangu aanze uongozi wake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Holy See Press Office, Papa Leo atatembelea mataifa ya…

Read More

Familia inavyoweza kujenga mtindo wa maisha wenye afya

Dar es Salaa. Katika mijadala mingi ya afya ya umma, mara nyingi mada huwa kuhusu hospitali, bima za afya, madaktari na sera za serikali. Hata hivyo, kuna ukweli muhimu ambao mara nyingi hausikiki vya kutosha: safari ya afya njema haianzi hospitalini, bali huanzia nyumbani. Familia ndiyo shule ya kwanza ya maisha. Ndani yake ndipo misingi…

Read More

Sikia hii ya Mwangosi Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Baraka Mwangosi ametajwa kama mchezaji atakayefanya makubwa baadaye, huku akitakiwa hivi sasa kujifunza vitu vingi kiufundi na ushindani vitakavyomjengea kujiamini na kutegemewa katika timu hiyo na Taifa Stars. Miongoni mwa walioliona hilo ni staa wa zamani wa Simba, Emmanuel Gabriel aliyesema Mwangosi anatakiwa kupewa muda kupata uzoefu, kujifunza vitu vingi katika timu,…

Read More

Vijana 3,967 waomba fedha kuendeleza biashara zao

Dar es Salaam. Benki ya CRDB imepokea maombi 3,967 kutoka kwa vijana wajasiriamali nchini kupitia mradi wake wa Go Green na Imbeju ili wapate mitaji ya kuendeleza mawazo yao ya kibunifu, huku mikoa 10 ikiwa kinara, ikiwemo Dar es Salaam na Mwanza. Programu hiyo ilizinduliwa Februari 12 mwaka huu ikiwa na lengo la kuwawezesha vijana…

Read More

Uhamiaji yatoa mwelekeo mechi 10 ZPL

MWENYEKITI wa timu ya Uhamiaji inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Ali Juma Abdulkadir amesema kipindi cha mapumziko kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kimewafanya wachezaji kupumzisha miili yao. Alisema hilo limekuwa ahueni kwao ikizingatiwa mechi 10 za mwisho zitachezwa mfululizo, hivyo limewajenga vizuri kimwili na kiakili. Mwenyekiti huyo alisema Uhamiaji ya msimu wa 2025-2026…

Read More