Mabadiliko ya Utawala Usiokubalika nchini Irani na Jinsi Vita Vinavyoathiri Ulimwengu – Masuala ya Ulimwenguni

Ali Khamenei aliyefariki akikabidhi bendera ya Iran kwa picha ya kioo ya mtoto wake, Mojtaba Khamenei. Kutoka kwa wavuti https://english.khamenei.ir/ Maoni na Jan Lundius (Stockholm, sweden) Alhamisi, Machi 12, 2026 Inter Press Service STOCKHOLM, Uswidi, Machi 12 (IPS) – Vita vya Marekani/Israel dhidi ya Iran vinaweza kuwa kama kuchafua kiota cha mavu, kueneza hofu na…

Read More

Rais Samia apanga pangua mabalozi, yumo mrithi wa Polepole

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na kuwapangia vituo vya kazi mabalozi huku baadhi wakirejeshwa nchini akiwemo Balozi Mobhare Matinyi aliyekuwa Sweden. Katika mabadiliko hayo, Luteni Jenerali Mathew Mkingule aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia amepelekwa Cuba kwenda kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Humphrey Polepole ambaye Julai 13, 2025 alitangaza…

Read More

Michango mashuleni kikwazo kwa watoto wenye mazingira magumu

Dodoma. Walezi wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu wametaja wingi wa michango ya wanafunzi shuleni kuwa inawakwamisha katika kufikia malengo na kuomba Serikali iwasaidie kutoa mwongozo. Kauli hiyo imetolewa leo Jumapili Machi 8,2026 na Mkurugenzi wa Kituo cha kulea watoto yatima na wenye mahitaji maalumu cha Rahman Day Care Center,  Rukia Abllah wakati akipokea vyakula…

Read More

Usikose! Bashiri na Meridianbet Ushinde Samsung A26 Leo

Kupitia promosheni kabambe ya Bet Online, mteja anaweza kujishindia simu janja aina ya Samsung A26 na kutimiza ndoto zake. Changamkia fursa leo hii ujinyakule zawadi hii kutoka Meridianbet. Katika msimu huu wa burudani na ushindani mkali ndani ya ulimwengu wa soka, Meridianbet imewasha moto mpya unaowapa wachezaji wote sababu ya kuongeza hamasa wanapotazama na kubashiri…

Read More

SGR, MV Umoja kuunganisha usafirishaji, Serikali yasema…

Mwanza. Serikali ya Tanzania imesisitiza kuwa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) haujasimama, huku ikiendelea kuunganisha mradi huo na usafiri wa majini kupitia meli ya MV Umoja ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi. Kauli hiyo imetolewa kufuatia mijadala ya wananchi kuhusu kasi ya miradi ya kimkakati, baadhi wakidai imekwama, jambo ambalo…

Read More

Mara ngapi unavaa soksi bila kufua?

Dar es Salaam. Ni jambo la kawaida kuvaa jozi ileile ya suruali, sweta au hata fulana zaidi ya mara moja. Lakini vipi kuhusu soksi zako? Kama ungejua ni nini hasa huishi kwenye soksi zako baada ya siku moja tu ya kuzivaa, huenda ungefikiria mara mbilimbili kabla ya kuzivaa tena. Miguu yetu ni msitu mdogo wa…

Read More