Othman: Itumieni Ramadhani kuombea haki, utengamano wa Taifa
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amewahimiza Watanzania na waumini wa Kiislamu kuzidisha maombi na ibada ndani ya mwezi wa Ramadhani ili Taifa lirudi katika hali ya haki na utengamano, baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu. Amesema jambo kubwa lililopo ni kila mmoja kuiombea nchi irudi katika mstari wa…