Simba yatambulisha mshambuliaji | Mwanaspoti

KAIMU kocha mkuu wa Simba Queens, Mussa Hassan ‘Mgosi’ amesema kwa sababu ya majeruhi, walikuwa na uhitaji wa mshambuliaji dirisha dogo. Simba imemtambulisha mshambuliaji kutoka Camerron, Ernestine Heutchou ukiwa ni usajili pekee wa waliofanya kipindi cha dirisha dogo na anaungana na nyota wengine watatu katika eneo hilo ambao ni Jentrix Shikangwa ambaye ni mfungaji bora…

Read More

WANACHUO WAFUNZWA NAMNA YA KUEPUKA UDANGANYIFU SOKONI⁸

  Afisa Mlinda Mlaji Mwandamizi FCC Bi.Magdalena Hall,akitoa elimu kuhusu masuala ya kumlinda mlaji na mikataba ya walaji kwa wanafunzi wa Chuo Cha Ufundi Stadi VETA Kibaha ,ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Haki za Mlaji Duniani 2026. …. KATIKA harakati za kuimarisha uelewa wa haki za walaji nchini, Tume ya…

Read More

Wanne washikwa mkono gofu kimataifa

WAKATI mashindano ya gofu kwa chipukizi Afrika yakianza jana Jumatatu nchini Kenya, Benki ya NCBA imejitolea kuwadhamini watoto wanne watakaoiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo. Watoto hao wanatarajia kuibeba Tanzania katika mashindano yatakayofanyika kati ya Machi 23 hadi 26 mwaka huu nchini Kenya katika Jiji la Nairobi. Watoto hao wanaoiwakilisha Tanzania ni Ibrahim Juma, Julius James,…

Read More

Safari ya wanaanga wa NASA; Rekodi, sayansi na historia

Dar es Salaam. Wanaanga wanne kutoka Shirika la Anga la Marekani (NASA) wameanza kurejea duniani baada ya kukamilisha safari ya kihistoria ya kuuzunguka mwezi, na kufanikiwa kufika mbali zaidi na Dunia kuliko binadamu yeyote kuwahi kufika. Safari hiyo ya siku 10, iliyoanza Aprili mosi, 2026, iliyopewa jina ‘Artemis II’, imehusisha wanaanga Reid Wiseman, Victor Glover,…

Read More

Usingizi; kinga ya afya ya akili, kimwili

Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Usingizi leo Ijumaa, Machi 13, 2026, tafiti mbalimbali za afya zimebainisha umuhimu wa usingizi bora kwa afya ya mwili na akili. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali na dondoo za afya, usingizi ni sehemu muhimu ya maisha ya binadamu kama ilivyo lishe bora na mazoezi ya mwili. Usingizi…

Read More

Rehema: Ujane si hukumu, napambana kutunza wanangu

Mbeya. Alfajiri ya Nonde jijini Mbeya, huanza kwa sauti ya mafuta yanayochemka kwenye karai jeusi. Mwanga hafifu wa jiko la mkaa humulika uso wa Rehema Mwanjonde (30) huku mikono yake ikichanganya unga kwa ustadi. Kabla ya jogoo kuwika mara ya pili, maandazi ya kwanza huwa tayari yameiva, ya moto, yenye harufu inayochochea hamu ya mteja…

Read More

Tumia viungo hivi kuondoa harufu mbaya kwapani

Harufu mbaya ya kwapa ni tatizo linalowakumba watu wengi katika jamii, na mara nyingi husababisha usumbufu wa kijamii na kupunguza kujiamini. Tatizo hili hutokana na mambo mbalimbali yanayohusiana na mwili wa binadamu, mazingira, na mienendo ya maisha ya kila siku. Kuelewa sababu hizi ni hatua muhimu katika kukabiliana na tatizo hili. Moja ya sababu kuu…

Read More