KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE NSSF YAPANDA MITI 600 KATIKA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWANZA
-Yatoa elimu ya umuhimu wa Hifadhi ya Jamii na utunzaji wa mazingira Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umepanda miti 600 katika shule mbili za Wilaya ya Ilemela, mkoani Mwanza, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayoadhimishwa kila mwaka Machi 8. Zoezi hilo limefanyika Machi 4, 2026…