MBUNGE BAGAMOYO AKABIDHI MAGARI KWA TANESCO

………… 📌Lengo ni kupunguza muda wa kushughulikia hitilafu na kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wateja 📌Asema TANESCO imeimarika, imetoka katika kutengeneza hasara 📍Bagamoyo, Pwani Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Mhe. Subira Mgalu leo Machi 03, 2026 amekabidhi magari mapya kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kwa lengo la kuimarisha huduma kwa…

Read More

Faida ya Madini ya Afrika, Matumaini ya Tahadhari Huku Kukiwa na Misukosuko ya Kijiografia – Masuala ya Ulimwenguni

Ishara nje ya Metallon, moja ya wazalishaji wakubwa wa dhahabu wa Zimbabwe. Credit: Ignatius Banda/IPS na Ignatius Banda (bulawayo, zimbabwe) Jumatano, Machi 18, 2026 Inter Press Service BULAWAYO, Zimbabwe, Machi 18 (IPS) – Jicho la Afŕika katika madini kama ajenda ya kuwa-yote na-tiba kwa ajili ya ajenda ya maendeleo ya bara linajaribiwa na ustadi wa…

Read More

TRA v Simba mechi ya mabao, ngoma iko hapa

KUTORUHUSU bao lolote dhidi ya TRA United katika mechi nne za Ligi Kuu Bara walizokutana, zinaipa Simba matumaini ya kuendeleza ubabe wao katika mechi hii yenye rekodi ya kupatikana mabao kuanzia mawili. Timu hizo zinakutana leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha saa 10:00 jioni, huku zote zikiingia uwanjani zikiwa zimetoka kushinda…

Read More

Sababu tume ya Oktoba 29 kuongezewa muda

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Chande, ameeleza sababu za kuomba nyongeza ya muda, akisema hatua hiyo inalenga kuhakikisha ripoti ya tume inakidhi viwango vya kitaifa na kimataifa, huku ikijibu matarajio makubwa ya Watanzania na jumuiya ya kimataifa. Sambamba na hilo, Jaji Chande amekanusha kuwa…

Read More

Migogoro ya ardhi yatikisa ziara ya Kihongosi

Mwanza. Migogoro ya ardhi imekuwa fupa gumu kwenye Jiji la Mwanza huku wilaya za Ilemela na Nyamagana zikidaiwa Sh14 bilioni za fidia na wananchi. Hayo yamebainika kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi katika ziara yake ya kichama mkoani humo. Katika mkutano huo uliofanyika…

Read More

Serengeti Apple Yanogesha Pasaka kwa Mandhari, Ladha na Vibe ya Kipekee Dar es Salaam

Bakari Mahundu April 8, 2026 0 Comments Kama sehemu ya maadhimisho ya sikukuu ya Pasaka kote nchini, Serengeti Apple iliandaa premium brunch experience maalum mwishoni mwa wiki katika hoteli ya Serena Hotel Dar es Salaam, ikiwapatia wageni waalikwa uzoefu wa kipekee ulioendana na shamrashamra za sikukuu hiyo. Likiwa limeandaliwa katika mazingira ya kifahari yenye mandhari…

Read More