FYATU MFYATUZI: Nitapiga marufuku kuzaa Fyatuland

Siku hizi, mambo kuwa si mambo. Maisha yamekuwa magumu. Napanga kutangaza sera ya kuzuia mafyatu kufyatua watoi japo kwa muda. Naona yule anaitikisa kichwa akidhani mibangi imenifyatua hadi nikafyatua kitu hiki kifyatufyatu. Hapana. Nina sababu nuzuhu za kufanya hivyo. Twende kwenye hoja. Napanga kupiga marufuku kufyatua watoi hadi mambo yatakaporekebika na kufaa. Hivyo, zifuatazo ni…

Read More

SHEIKH MKUU WA TANZANIA AWAHAMASISHA WANAWAKE KUMILIKI ARDHI BAADA YA KUPATA HATI SAMIA ARDHI KLINIKI

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir, ametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kutumia fursa ya huduma za ardhi zinazotolewa kupitia Samia Ardhi Kliniki, akisisitiza umuhimu wa wanawake kumiliki ardhi kama njia ya kujikomboa kiuchumi. Mufti Zubeir alitoa kauli hiyo baada ya kufika katika Kliniki ya Ardhi inayofanyika katika Ofisi za Ardhi za…

Read More

Ofisa wa Polisi jela miaka miwili kwa mauaji

Iringa. Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemhukumu askari wa Jeshi la Polisi, Sajenti Rogers Mmari (F.4987) wa Kituo cha Polisi Ipogolo, kwenda jela kwa miaka miwili baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila kukusudia. Tukio hilo lilitokea Desemba 14, 2024 Mtaa wa Ipogolo, Manispaa ya Iringa ambapo Mshtakiwa huyo alimpiga marehemu Nashoni Kiyeyeu…

Read More

MAAFISA UGANI KUONGOZA MAPINDUZI YA KILIMO KILIMANJARO

****** Na Ashrack Miraji Torch Media   Serikali mkoani Kilimanjaro imeanza utekelezaji wa mkakati maalum wa kuwawezesha maafisa ugani kupitia mafunzo ya kitaalamu, ikiwa ni jitihada za kuleta mapinduzi katika sekta ya kilimo na kuongeza tija kwa wakulima. Hatua hiyo inalenga pia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi pamoja na kuinua kipato cha wakulima katika…

Read More

Sheikh Njalambaha awapigia ‘chapuo’ vijana serikalini

Mbeya. Serikali imeombwa kuongeza jitihada za kuwawezesha vijana kiuchumi ili kuwaondoa katika makundi yasiyofaa, huku jamii ikihimizwa kuendeleza matendo mema, mshikamano na kusameheana hata baada ya kumalizika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Wito huo umetolewa leo Jumamosi Machi 21, 2026 na Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, Alhaji Sheikh Msafiri Njalambaha wakati akizungumza na waumini kwenye…

Read More