Stanbic yashinda tuzo benki bora kwa wateja maalumu
Dar es Salaam. Benki ya Stanbic imeibuka kinara kwa kushinda tuzo tatu za kimataifa za Benki Bora ya Kimataifa kwa Wateja Maalumu, Benki Bora kwa Kizazi Kijacho, na Benki Bora kwa Huduma kwa Wateja. Ushindi huo unaonesha mchango wake katika kusaidia wateja wa Tanzania kujenga, kukuza na kulinda ukwasi wao kwa mtazamo wa muda mrefu…