Ulaji wadudu unavyopata umaarufu | Mwananchi
Dar es Salaam. Katika dunia inayokabiliwa na changamoto za uhaba wa chakula na lishe duni, wataalamu wa afya na lishe wameendelea kuangazia ulaji wa wadudu kama suluhisho mbadala lenye manufaa makubwa kiafya. Ingawa kwa baadhi ya jamii ulaji wa wadudu bado huonekana kuwa jambo geni, ukweli ni kwamba kwa muda mrefu wadudu wamekuwa sehemu ya…