WANAZUONI WAHIMIZA WISLAMU KUTOA ZAKA KUPAMBANA NA UMASIKI

                 :::::::::::: Mwenyekiti wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu, Sheikh Abdallah Swallehe Ndauga, amewahimiza Waislamu kutekeleza ipasavyo ibada ya Zaka ili kusaidia kupunguza umasikini katika jamii. Akizungumza katika kongamano la wanazuoni wa Kiislamu lililofanyika katika ukumbi wa Dar es Salaam Youth Centre (DYCC) jijini Dar es Salaam, Sheikh…

Read More

Msimamo wa Mahakama Tume ya Matukio ya Oktoba 29

Dar es Salaam. Ijumaa Machi 13, 2026 Mahakama Kuu Dar es Salaam ilitoa uamuzi wa shauri la kupinga Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani  Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ambapo iliihalalisha tume hiyo. Katika makala haya tunakuletea kwa undani kuhusu uamuzi huo kwa kuangazia malalamiko ya…

Read More

Shadrack Nsajigwa apania Tanzania Prisons

KOCHA mpya wa maafande wa TZ Prisons, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’ amesema malengo makubwa aliyonayo kwa timu hiyo ni kuhakikisha timu hiyo inajinasua na janga la kushuka daraja, licha ya ushindani mkubwa uliopo msimu huu katika mechi za Ligi Kuu Bara. Nsajigwa aliyeachana na Transit Camp inayoshiriki Ligi ya Championship msimu huu, alitambulishwa rasmi kukiongoza kikosi…

Read More

Mwenzi Wako Akikuonyesha Haya, Jua Hakutaki!

KWA kawaida mtu anapompenda mtu huwa ni vigumu sana kumuacha aende. Hatamani hata siku moja kumpoteza mtu ampendaye. Atafanya kila linalowezekana kuhakikisha kwamba mhusika anakuwa mpenzi wake. Mapenzi humfanya mtu awe kipofu. Anashindwa kufikiri sawasawa na kufanya maamuzi sahihi. Hisia kali za mapenzi zinampeleka ndivyo sivyo yeye anaamini yupo sahihi. Mtu wa namna hii, mara…

Read More

WIZARA YA ARDHI YAZINDUA MPANGO MAALUM KUINUA WANA WANAWAKE KUNUFAIKA NA HATI, ELIMU NA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDH KUPITIA SAMIA ARDHI KLINIKII

  Na.Alex Sonna-Dodoma WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanzisha  kliniki maalum iitwayo Samia Ardhi Kliniki nchi nzima kwa lengo la kuongeza idadi ya wanawake wanaomiliki ardhi, ambapo kwa sasa ni asilimia 28 tu. Hatua hiyo inalenga kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, katika kuhakikisha…

Read More

Sowah Hatihati Kutimuliwa Simba Kwa Utovu wa Nidhamu

Global Publishers March 17, 2026 0 Comments MSHAMBULIAJI namba moja wa Simba, Jonathan Sowah kuna hatihati kuondoka ndani ya kikosi hicho kutokana na tatizo la nidhamu. Sowah ndani ya NBC Premier League amefunga magoli matatu akiwa ni miongoni mwa wachezaji wenye magoli mengi ndani ya kikosi hicho. Kwa sasa Sowah hayupo kwenye mipango ya timu…

Read More

Hii ndiyo sababu – Masuala ya Ulimwenguni

Vingi vya vifo hivi vinaweza kuzuilika kwa njia zilizothibitishwa, za gharama ya chini na upatikanaji wa huduma bora za afya, ripoti inasisitiza. Kwa mara ya kwanza, uchambuzi unatoa picha kamili ya sio tu ni watoto wangapi wanakufa na wapi – lakini pia kwa nini, kwa kuunganisha kikamilifu makadirio ya kimataifa juu ya sababu za kifo….

Read More