MWANAMKE NDIYE MSINGI WA MAADILI KATIKA JAMII

Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Kahama, Martha Kapela akizungumza na wanawake juu ya majukumu ya wanawake katika malezi, elimu ya maadili, na utunzaji wa familia huku akiwahimiza walimu kushirikiana katika malezi ya watoto shuleni. Na Neema Nkumbi, Kahama Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Kahama, Martha Kapela, amesema mwanamke ndiye chanzo cha maadili katika jamii, huku…

Read More

Masilingi awataka watendaji kuongeza uwazi kwenye miradi ya CSR

Geita. Mwenyekiti wa Tume ya Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini na Gesi, Balozi Wilson Masilingi, amewataka watendaji wa halmashauri nchini kuhakikisha kunakuwepo uwazi na ushirikishwaji wa wananchi katika uteuzi wa miradi inayotekelezwa kupitia fedha za uwajibikaji kwa jamii (CSR), kutoka kampuni za uchimbaji madini. Masilingi amesema kukosekana kwa uwazi na uwajibikaji katika utekelezaji wa miradi…

Read More

SWAHILI: ICEA LION Yazindua Simba Wa Bima, Ikisisitiza Ulinzi Katika Kila Hatua ya Maisha

Mkurugenzi wa Matekelezo na Huduma za Uthaminishaji wa TIRA, Alex Rocky (mwenye skafu) aliyemuawakilisha Kamishna wa TIRA, Dk. Baghayo Saqware akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya bima ya ICEA Lion Group, James Ndegwa (kushoto) ikiwa ni  uzinduzi wa kampeni ya Simba Wa Bima inayolenga   kujua umuhimu wa   kulinda familia, kupanga maisha…

Read More