Ngoy awekewa mkataba mpya Namungo
WAWAKILISHI wa mshambuliaji wa Namungo FC, Mkongomani, Fabrice Ngoy wamepokea mkataba mpya kutoka kwa uongozi wa kikosi hicho cha Wauaji wa Kusini ambao wanataka wakamilishe dili hilo mapema, kabla ya msimu huu wa 2025-2026, haujaisha. Mshambuliaji huyo aliyeitumikia Namungo kwa misimu mitatu, mkataba wake wa sasa unafikia ukomo mwishoni mwa msimu huu wa 2025-2026, ambapo…