WANANCHI WA MOHORO WAMSHUKURU RAIS SAMIA

-Mhe. Mchengerwa afuturisha, Mohoro, Chumbi,Mbwala na Shela -Maelfu ya wananchi washiriki futari, wamsifu Mchengerwa Na Yohana Kidaga- Mohoro Wananchi wa kata nne za Muhoro, Chumbi, Mbwala na Shela katika wilayani Rufiji wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha katika miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya…

Read More

Kauli hii haitolewi na mwanamume wa kweli

Kuna kauli siku hizi imekuwa maarufu sana mitandaoni na hata kwenye vijiwe vya kahawa: “Natafuta mke mwenye kazi, anisaidie maisha.” Ukiisikia mara ya kwanza unaweza kudhani ni kauli ya maendeleo, usawa wa kijinsia na mipango ya kisasa ya ndoa. Lakini ukiichambua vizuri, unaweza kubaini kuna harufu fulani ya uvivu iliyojificha nyuma ya maneno hayo matamu….

Read More

Aliyekataa bao, aliyefunga wafungiwa | Mwanaspoti

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imetoa adhabu kwa klabu, wachezaji na waamuzi kufuatia matukio yaliyojitokeza katika michezo mbalimbali  ikiwemo Dabi ya Kariakoo iliyopigwa wikiendi iliyopita, Zanzibar. Katika uamuzi huo uliotangazwa Machi 6, 2026, Simba imeadhibiwa kwa makosa yaliyotokea katika michezo tofauti ya Ligi Kuu Bara. Katika mchezo dhidi ya Dodoma Jiji, Simba imetozwa faini…

Read More

Pedro Goncalves afichua hesabu mpya za Yanga

YANGA imerudi nyumbani ikijiandaa kucheza tena ugenini dhidi ya Azam FC, lakini ule mchezo dhidi ya Prisons ukampa akili mpya kocha wao, Pedro Goncalves na sasa amewatenganisha f’lani kimehesabu mastaa wake. Iko hivi: Yanga ilipocheza juzi dhidi ya Prisons na kushinda kwa bao 1-0, goli lao lilitokea benchi dakika ya 61, alipoingia mshambuliaji Laurindo Aurelio…

Read More

Ibenge ataja sifa tatu za Yanga

KUELEKEA mechi ya Dar es Salaam Dabi, itakayopigwa kesho Machi 15, kocha wa Azam, Florent Ibenge, ametaja sifa tatu za wapinzani hao huku akisema kuwa kocha wa Yanga, Pedro Goncalves ana ufundi wa hali ya juu. Yanga inatarajiwa kuvaana na Azam kesho kwenye mchezo mkali wa Ligi Kuu zikiwa ni timu mbili ambazo hadi sasa…

Read More

GCLA IMEWAJENGEA UWEZO VIJANA 8,086 KATIKA UENDESHAJI SHUGHULI ZINAZOHUSU KEMIKALI

Na Mwandishi wetu- Dodoma Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imefanikiwa kuwajengea uwezo vijana 8,086 katika uendeshaji wa shughuli zinazohusisha kemikali, na kuwasaidia kulinda afya zao na mazingira, Mafunzo hayo yamewezesha vijana kupata fursa za biashara katika usafirishaji wa kemikali na kuanzisha viwanda vidogo vidogo vya uzalishaji wa bidhaa za kemikali. Dkt…

Read More

Tofauti za kijinsia zinavyoathiri uhusiano

Matatizo mengi tunayokutana nayo katika uhusiano wa kila siku yana mizizi yake katika tofauti za kijinsia. Ukweli kwamba mpenzi wako ni mwanaume na wewe ni mwanamke, au kinyume chake, unatosha kabisa kuleta tofauti fulani ambazo, zisipoeleweka vizuri, huweza kusababisha misuguano na migongano isiyo ya lazima. Ni muhimu kufahamu kwamba wanaume na wanawake tumetengenezwa tofauti kimaumbile,…

Read More