Sababu Rais wa Rwanda, DRC kutohudhuria mkutano wa EAC

Arusha. Zikiwa zimebaki dakika chache kuanza kwa mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Rwanda, Paul Kagame, na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi, hawajawasili jijini Arusha. Katika mkutano huo, jumla ya Wakuu wa Nchi wanane wa Jumuiya ya Afrika Mashariki…

Read More

WANANCHI WAHAMASISHWA UPANDAJI MITI WAKATI HUU WA MVUA

  …….. Balozi wa mazingira wa kujitolea Moses Mwakibolwa amewahamasisha wananchi kutumia mvua zinazoendelea kunyesha kupanda miti ili kulinda ikolojia na kupunguza athari za uharibifu wa mazingira nchini. Mwakibolwa amesema wananchi wanapaswa kujenga utamaduni wa kupanda miti kila kunapotokea unyevunyevu ardhini ili kuongeza kasi ya upandaji miti na kulinda mazingira kwa manufaa ya kizazi cha…

Read More

Wanne washikwa mkono gofu kimataifa

WAKATI mashindano ya gofu kwa chipukizi Afrika yakianza jana Jumatatu nchini Kenya, Benki ya NCBA imejitolea kuwadhamini watoto wanne watakaoiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo. Watoto hao wanatarajia kuibeba Tanzania katika mashindano yatakayofanyika kati ya Machi 23 hadi 26 mwaka huu nchini Kenya katika Jiji la Nairobi. Watoto hao wanaoiwakilisha Tanzania ni Ibrahim Juma, Julius James,…

Read More

Siku ya Ushindi na Meridianbet Imefika

WAKALI wa ubashiri wanakuita leo hii usuke jamvi lako la ushindi sasa. Timu kibao zipo uwanjani leo kusaka ushindi na wewe ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet usake mkwanja sasa. EPL leo hii itaendelea Arsenal atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Everton ambao wanashika nafasi ya 8 kwenye msimamo w aligi. Wageni wao wapo nafasi ya…

Read More

Serikali za EAC zashinikizwa kugawa pedi bure, kuondoa tozo

Dar es Salaam. Serikali za nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimetakiwa kupitia upya sera na mifumo ya kodi ili kuhakikisha upatikanaji wa taulo za kike (pedi) unakuwa rahisi au bure, hatua itakayosaidia kupunguza changamoto zinazowakabili wasichana hasa walioko vijijini na familia zenye kipato duni. Kukosekana kwa taulo za kike, imesababisha baadhi ya…

Read More

Kocha Laizer aweka mikakati Fountain

BAADA ya mwenendo mbaya wa matokeo ya Ligi Kuu Bara hadi sasa, Kocha wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’ amesema kazi kubwa aliyonayo katika kikosi hicho ni kutengeneza saikolojia ya wachezaji ili wafanye vizuri kwa mechi zijazo. Akizungumza na Mwanaspoti, Laizer amesema wachezaji wa timu hiyo wanatengeneza nafasi nyingi za kufunga, ingawa suala nzima la…

Read More