UJUMBE RASMI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WANYAMAPORI – 2026
Kauli Mbiu ya Mwaka 2026: “Medicinal and Aromatic Plants and Their Contribution to Human Welfare: The Way Forward for Sustainable Use” (“Mimea ya Dawa na Harufu na Mchango Wake kwa Ustawi wa Binadamu: Njia ya Mbele ya Matumizi Endelevu”) Kwa niaba ya Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO), tunaungana na Serikali ya…