Hatari wenza kutumiana picha za faragha

Dar es Salaam. Picha iliyotumwa kwa kuaminiwa kama ishara ya upendo, huenda ikageuka silaha ya fedheha, vitisho, visasi na kusababisha maumivu ya kudumu. Katika zama hizi za teknolojia, simu janja na mitandao ya kijamii imekuwa chombo cha kuwasiliana lakini pia imeibua tishio jipya la kisaikolojia na kijamii kusambazwa bila ridhaa kwa picha na video za…

Read More

Kwa Taarifa Zaidi Ingia Meridianbet Sport Portal

MERIDIANBET Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa soka kujua mambo mbalimbali yanayoendelea ya kimichezo, kasino, usajili, matokeo, na kupata fursa za kubashiri mechi mbalimbali. Kupitia Kampuni hii kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet…

Read More

Kwa Nini Waathirika wa Unyanyasaji wa Kijinsia wa Wanaume wa Uganda Wanateseka Kimya – Masuala ya Ulimwenguni

Dk Busingye Kabumba ni profesa wa sheria katika Chuo Kikuu cha Makerere. Alisema kuna dhana potofu kuhusu ukatili wa kijinsia dhidi ya wanaume. Credit: Wambi Michael/IPS by Wambi Michael (kampala) Alhamisi, Februari 26, 2026 Inter Press Service KAMPALA, Februari 26 (IPS) – Wakati watu kwa kawaida wanafikiria kuhusu unyanyasaji wa kijinsia, ni ubakaji wa wanawake…

Read More

Chama la Samatta hatarini kushuka daraja

KLABU ya Le Havre AC anayoichezea mshambuliaji wa Kitanzania, Mbwana Samatta iko kwenye nafasi mbaya na hatari ya kushuka daraja kama haitashtuka mwishoni. Le Havre iko nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi, nafasi ambayo siyo salama kutokana na tofauti ndogo ya pointi na timu zinazopigania kubaki kwenye ligi hiyo. Timu hiyo imekusanya pointi 26…

Read More