Ushindi wampa jeuri Ndayiragije | Mwanaspoti

USHINDI mtamu nyie. Baada ya TRA United kupata ushindi wa mabao 4-1 mbele ya Fountain Gate, kocha mkuu wa timu hiyo, Etienne Ndayiragije amesema matokeo hayo yametoa majibu ya kile alichokuwa anakifanyia kazi uwanja wa mazoezi kwa safu ya ushambuliaji na sasa anarudi kuanza na safu ya ulinzi ili kupunguza uwiano wa mabao ya kufunga…

Read More

Mkongomani Namungo awekewa mkataba mpya

UONGOZI wa Namungo FC, uko katika mazungumzo ya kumwongezea mkataba mpya mshambuliaji wa kikosi hicho, Mkongomani, Fabrice Ngoy, baada ya mabosi wa timu hiyo kuridhishwa na kiwango chake. Akizungumza na Mwanaspoti, Mratibu wa Namungo, Ally Suleiman alisema mazungumzo na nyota huyo ili kuongeza mkataba mpya yameanza na yamefikia katika hatua nzuri, baada ya kuridhishwa na…

Read More

Mkataba wa Nashoni, Simba upo hivi!

SIMBA imefanya umafia baada ya kumsajili kiungo wa Singida Black Stars, Kevin Nashon kwa mkataba wa miaka miwili zikiwa ni siku chache tangu walipogomewa saini yake. Simba kabla ya kufanya maamuzi ya kumsainisha mkataba wa awali wa miaka miwili Nashon, ilishafanya utafiti wa kujua amebakiza muda gani Singida Black Stars. Nashon alijiunga na Pamba 04/08/2025 …

Read More

Jaji Mutungi amevunja ukimya mgogoro wa CUF

Dar es Salaam. Hatimaye, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amevunja ukimya na kuzungumzia uongozi mpya wa Chama cha Wananchi (CUF) unaoongozwa na mwenyekiti, Mirambo Yusuf, huku akitaka wenye manung’uniko kufuata taratibu. Chama hicho kilifanya uchaguzi mkuu wa dharura kuanzia Februari 20, 2026, ili kupata uongozi mpya. Hata hivyo, matokeo ya uchaguzi huo…

Read More

Papa Leo kufanya ziara ya kwanza barani Afrika

Vatican. Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, anatarajia kufanya ziara nchini Algeria, Cameroon, Angola, na Equatorial Guinea katikati ya Aprili taarifa iliyotolewa na Vatican Februari 25, 2026.  Kwa mujibu wa taarifa hiyo kituo cha kwanza katika ziara yake ya siku 10 kitakuwa miji ya Algiers na Annaba kuanzia Aprili 13 hadi 15, 2026….

Read More

Watafiti wabaini aina sita za uyoga zinazopatikana Tanzania pekee

Morogoro. Wataalamu na watafiti wa uyoga pori, wamesema tafiti mbalimbali zilizofanywa zimebaini kuwepo kwa aina sita za uyoga zinazopatikana Tanzania pekee, hali inayoiweka nchi katika nafasi nzuri ya kukuza zao hilo katika soko la kimataifa. Sambamba na hilo, wamesema wameanza mkakati wa kuongeza tafiti za kisayansi ili kuimarisha uzalishaji wa zao hilo kibiashara na kulipendekeza…

Read More