Namungo yalenga historia mpya Ligi Kuu ya NBC
PAMOJA na kukiri ugumu wa ligi, Namungo imesema kati ya mechi 12 ilizobakiza inasaka japo pointi 18 ili kujihakikishia usalama, huku ikihitaji kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho (FA). Hadi sasa Namungo imecheza mechi 18 na kuwa nafasi ya tisa kwa pointi 22 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara. Timu hiyo imebakiza mechi 12 kumaliza…