KERRY 2026 TASTE CHARTS REVEAL TANGERINE, TAMARIND, AND MANGO CHILLI DRIVE A CONTINENT-WIDE SHIFT IN FLAVOUR

 *********** TANZANIA, Dar Es Salaam – Kerry, the global leader in taste and nutrition, has unveiled the Tanzania 2026 Taste Charts, highlighting a definitive shift in consumer palates across the continent. The new reports, covering 54 countries across Africa, including Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, and Zambia, signal that African consumers are moving beyond traditional staple…

Read More

Mradi wa KKKT wazalisha umeme, wanufaisha vijiji saba Makete

Njombe. Wananchi wa vijiji saba wilayani Makete mkoani Njombe wananufaika na upatikanaji wa umeme wa uhakika kufuatia mradi wa uzalishaji umeme wa Ijangala uliofadhiliwa na Wakala wa Umeme Vijijini (Rea). Umeme unaozalishwa katika mradi huo unatajwa kusaidia kuongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika pamoja na kutoa ajira kwa wananchi wa eneo hilo. Hayo yameelezwa leo…

Read More

Damaro airudisha Simba TFF | Mwanaspoti

SIMBA imepanga kurudi tena katika Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kuomba kufanyike marejeo ya shauri lao kumuhusu mchezaji Mohamed Damaro. Uamuzi huo umekuja baada ya Aprili 2, 2026, Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya (TFF) kulitupa shauri la Simba kuhusu uhalali wa…

Read More

Mbongo asaini miwili Uturuki | Mwanaspoti

MTANZANIA mwingine Emmanuel Mlefu amejiunga na Sisli Yeditepe inayoshiriki Ligi ya Walemavu Uturuki kwa mkataba wa miaka miwili. Mlefu anaungana na Mtanzania mwenzie Shedrack Hebron ambaye yupo klabuni hapo tangu msimu wa 2023 akitokea Sauti Para Sports ya Tanzania na ndiye aliyefanikisha dili hilo kwa kushawishi mabosi wa timu hiyo kumsajili. Akizungumza na Mwanaspoti, Hebron…

Read More

Wanaodaiwa kumteka Mtanzania Kenya wasota mahabusu siku 16

Dar/Nairobi. Mahakama nchini Kenya, kesho itatoa uamuzi wa iwapo raia wawili wa Kenya na Mtanzania wanaotuhumiwa kufanya jaribio la kumteka mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Hamza, waachiwe kwa dhamana ama la. Katika jaribio hilo la utekaji ambalo lilishindikana, lililotokea Februari 22, 2026 huko Kaunti ya Machakos katika ardhi ya Kenya, watuhumiwa wanadaiwa kumchoma sindano mwanaharakati huyo…

Read More

TANZANIA YAJINADI UIMARISHAJI USAWA WA KIJINSIA NA UPATIKANAJI WA HAKI KWA WANAWAKE MKUTANO WA CSW 70.

Na WMJJWM New York Marekani Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza mshikamano wake na nchi wanachama wa jumuiya ya kimataifa katika kuendeleza ajenda ya usawa wa kijinsia duniani. Akizungumza katika mkutano wa 70 wa kimataifa kuhusu masuala ya wanawake na haki, mwakilishi wa Tanzania katika Mkutano huo Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,…

Read More

Unataka kulipiwa mahari? Soma masharti ya Sheikh Kishki

Dar es Salaam. Kama Machi Mosi, 2026 ulisikia tangazo la kulipiwa mahari na umejipanga na mwenza wako, basi huna budi kufahamu masharti 10 yaliyotangazwa na Taasisi ya Al-Hikma ili kutimiza kigezo cha kufanikisha mchakato huo. Miongoni mwa masharti hayo yaliyotangazwa na mkurugenzi wa taasisi hiyo, Sheikh Nurdin Kishki ni pamoja na mwanamke ndio akachukue fomu…

Read More