Watuhumiwa 50 wakamatwa kwa tuhuma za wizi, kukutwa na nyara za Serikali
Dodoma. Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watuhumiwa 50 kwa makosa mbalimbali, yakiwemo ya wizi, udanganyifu, dawa za kulevya na kukutwa na nyara za Serikali. Taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma iliyotolewa leo Jumatano, Machi 4, 2026, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Gallus Hyera, imesema watuhumiwa hao walikamatwa katika msako uliofanywa na jeshi hilo…