Mauaji ya Khamenei na agenda nyuma ya pazia

Macho ya ulimwengu yameelekea Mashariki ya Kati. Ni vita ya Marekani na Israel, dhidi ya Iran. Matukio makubwa hadi sasa ni kuuawa kwa aliyekuwa Kiongozi Mkuu (Rahbar) wa Iran, Ali Hosseini Khamenei, mwana wa Sayyid Javad Khamenei, vilevile mashambulizi ya Iran kwenye nchi zenye kambi za kijeshi za Marekani. Iran, au kwa jina rasmi Jamhuri…

Read More

WIZARA YA ARDHI YAZINDUA MPANGO MAALUM KUINUA WANA WANAWAKE KUNUFAIKA NA HATI, ELIMU NA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDH KUPITIA SAMIA ARDHI KLINIKII

  Na.Alex Sonna-Dodoma WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanzisha  kliniki maalum iitwayo Samia Ardhi Kliniki nchi nzima kwa lengo la kuongeza idadi ya wanawake wanaomiliki ardhi, ambapo kwa sasa ni asilimia 28 tu. Hatua hiyo inalenga kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, katika kuhakikisha…

Read More

Kila Mechi ni Nafasi ya Wewe Kukupatia Ushindi

USHINDI Mnono unakusubiri leo ndani ya Meridianbet kwani hapa unapata, Odds kubwa, Machaguo zaidi ya 1000 na mengine mengi. Ili kubashiri sasa ingia kwenye akaunti yako na ubashiri leo. LALIGA kule Hispania kuna mechi zinazoendelea Villarreal atamenyana dhidi ya Elche ambao wanashika nafasi ya 17 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 4 hadi sasa kwenye…

Read More

Ceasiaa yaongeza nguvu benchi la ufundi

INAELEZWA Ceasiaa Queens imemwongeza aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma kukiongoza kikosi hicho kuelekea mzunguko wa pili wa Ligi ya Wanawake. Kabla ya kuifundisha Alliance Sultan alihudumu kwenye kikosi cha Geita Queens lakini timu haikufanya vizuri ikashuka daraja. Chanzo kililiambia Mwanaspoti Sultan amesajiliwa kama kocha mkuu kuchukua nafasi ya Ezekiel Chobanka ambaye…

Read More

Maridhiano yatajwa kichaka kukwamisha Katiba Mpya

Dar es Salaam. Wadau hao wamesisitiza kuwa mchakato wa Katiba Mpya ni wa kisheria unaohitaji kuanza kwa kuwasilisha muswada wa sharia bungeni, hivyo haupaswi kuhusishwa moja kwa moja na matukio ya hivi karibuni, ikiwemo uchunguzi wa vurugu hizo. Hata hivyo, wengine wameeleza kuwa hatua zinazopendekezwa zinafanana na kuchomeka mambo ambayo hayahitajiki, hivyo kuweo uwezekano wa…

Read More