Mzawa aja na jukwaa la suluhu kwa wabunifu na wasaka ajira

Suala la ukosefu wa ajira rasmi limekuwa likiumiza kichwa wengi, kuanzia kwa watu binafsi hata Serikali, lakini sasa Kwanzahub imekuja na suluhu ambalo hata kama sio la kumaliza tatizo lakini walau kupunguza na kuonyeshwa njia ya kutatua tatizo hilo. Suluhu hiyo inahusisha kutoa jukwaa la vijana kuonyesha mawazo yao ya kibunifu, kuyelea, kuyauza lakini ni…

Read More

Waziri Mkuu Azindua Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia Hanang

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezindua Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara ambayo imejengwa kwa gharama ya sh. bilioni 5.69. Stendi hiyo ambayo ujenzi wake umekamilika na imeanza kutumika, imelenga kuboresha utoaji huduma za usafiri na usafirishaji. Miundombinu iliyopo ni pamoja na jengo kuu la kituo cha…

Read More

WANANCHI WAHAMASISHWA UPANDAJI MITI WAKATI HUU WA MVUA

  …….. Balozi wa mazingira wa kujitolea Moses Mwakibolwa amewahamasisha wananchi kutumia mvua zinazoendelea kunyesha kupanda miti ili kulinda ikolojia na kupunguza athari za uharibifu wa mazingira nchini. Mwakibolwa amesema wananchi wanapaswa kujenga utamaduni wa kupanda miti kila kunapotokea unyevunyevu ardhini ili kuongeza kasi ya upandaji miti na kulinda mazingira kwa manufaa ya kizazi cha…

Read More

WANAWAKE TTCL WAWASAIDIA WATOTO WAGONJWA WA MOYO JKCI

Baadhi ya Wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wakiwa na Daktari Bingwa Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo kwa Watoto – JKCI, Dk. Naizihijwa Majani (katikati) akipokea msaada huo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Kituo hicho. Baadhi ya Wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wakiwa na Daktari Bingwa Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo kwa Watoto –…

Read More

Mgombea wa CCM ashinda ubunge Peramiho

Songea. Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Lazaro Bunungu ameshinda katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Peramiho, kwa kupata kura 69,002 kati ya kura 79,720, sawa na asilimia 87 ya kura zote zilizopigwa. Akitangaza matokeo hayo, msimamizi wa uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Peramiho, Exavery Luyagaza amesema kwa mamlaka aliyopewa kwa…

Read More