SGR yafungua fursa, wakazi wa Kanda ya Ziwa watakiwa kuzitumia
Mwanza. Wakati ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha tano kutoka Isaka mkoani Shinyanga hadi Fela mkoani Mwanza ukifikia zaidi ya asilimia 68, wakazi wa mikoa hiyo wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zitakazotokana na mradi huo wa kimkakati. Akizungumza leo Jumanne Februari 24, 2025 wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo, Waziri…