Chadema yaiambia UN mabadiliko ya kikatiba muhimu Tanzania

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemweleza Mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) kuwa msimamo wa chama hicho ni uchunguzi huru ufanyike ili wale wote waliobainika kuhusika na vurugu za Oktoba 29,2025  zilizosababisha vifo na majeruhi wawajibishwe. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa jana Jumanne  Machi 10,2026 Chadema,…

Read More

BALOZI KAGANDA ATEMBELEA OFISI ZA TPA NCHINI ZIMBABWE

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Kamishna wa Polisi (CP) Suzan Kaganda, ametembelea ofisi za Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA) zilizopo mjini Harare na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa TPA nchini humo, Bi. Kulthum Boma kuhusu namna ya kuimarisha huduma na kuongeza ufanisi katika usafirishaji wa mizigo kupitia bandari za Tanzania. Ziara ya Mheshimiwa Balozi…

Read More

Museveni achaguliwa mwenyekiti mpya EAC

Arusha. Rais wa Uganda Yoweri Museveni amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kipindi cha kuanzia Machi 2026 hadi 2028, akichukua mikoba kwa Rais wa Kenya William Ruto aliyemali muda wake. Museveni amechaguliwa leo Jumamosi, Machi 7, 2026 katika Mkutano wa kawaida wa 25 wa wakuu wa nchi wa EAC unaofanyika katika…

Read More

Faida 5 za Maji ya Limao Ambazo Watu Wengi Hawazijui

Maji ya limao ni kinywaji rahisi kinachotengenezwa kwa kuchanganya maji na juisi ya limao mbichi. Kunywa maji ya limao kila siku kunaweza kusaidia kuboresha afya kwa ujumla kwa kutoa virutubisho muhimu, kuimarisha kinga ya mwili na kusaidia kazi mbalimbali za mwili. Kwa mujibu wa tovuti ya afya ya Healthline, glasi ya juisi iliyokamuliwa kutoka gramu…

Read More

Wawili wajinyonga Tabora, ng’ombe watajwa chanzo

Tabora. Watu wawili mkoani Tabora inadaiwa wamejinyonga hadi kufa, akiwemo mkazi wa Igembensabo, Kata ya Uyui, Ngalawa Idd (50). Ngalawa amekutwa amejinyonga kwenye mti karibu na shambalake. Akizungumza na Mwananchi jana Jumanne, Aprili 7, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amedai chanzo cha tukio hilo ni marehemu kushindwa kuhimili deni la ng’ombe…

Read More