Nsajigwa aanza hesabu za Yanga

BAADA ya kuanza na pointi moja dhidi ya Azam FC, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Shadrack Nsajigwa amesema hesabu zinahamia kwa Yanga kabla ya mchezo wa Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya TMA inayocheza  Championship. Nsajigwa aliyejiunga na maafande hao hivi karibuni kurithi mikoba ya Zedekiah Otieno, juzi aliiongoza timu hiyo ilitoshana nguvu dhidi…

Read More

‘Kuzuia Kesi Sawa Kunahitaji Kuvunjilia mbali Taratibu Zinazochukulia Wapinzani kama Uhalifu’ – Masuala ya Ulimwenguni

na CIVICUS Ijumaa, Februari 27, 2026 Inter Press Service CIVICUS inajadili kuharamishwa kwa wapinzani nchini Ufilipino na Kyle A Domequil, msemaji wa Mtandao wa Free Tacloban 5, kampeni inayomuunga mkono mwanahabari Frenchie Mae Cumpio, mtetezi wa haki za binadamu Marielle Domequil na washtakiwa wenzao na wanaotetea kuachiliwa kwao. Kyle A Domequil Mnamo tarehe 22 Januari,…

Read More

Azam yairudisha Yanga Benjamin Mkapa, yataja sababu

Azam imethibitisha kwamba mchezo wake dhidi ya Yanga, Jumapili, Machi 15, 2026 utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya Azam Complex, Dar es Salaam. Ofisa Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’ amesema kuwa wameamua kucheza mechi hiyo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa vile wamiliki wamewapa ruhusa ya kuutumia kwa…

Read More

Kombe la Dunia linapokaribia, ukumbusho wa uwezo wa michezo kujenga madaraja na kuvunja vizuizi – Global Issues

Wanasoka wasomi watapamba vichwa vya habari msimu huu wa joto, lakini mchezo unaweza kuwa na athari ya mageuzi katika kila jamii, kuunganisha jamii katika mipaka na vizazi, na kuunda nafasi za mazungumzo, mshikamano na kuheshimiana. Katika muda wa miezi miwili tu, mashindano makubwa zaidi ya michezo duniani yataanza katika Jiji la Mexico na, kama kawaida,…

Read More

Ewura yatangaza bei mpya, mafuta yapanda

Dar es Salaam. Watumiaji wa bidhaa za mafuta Tanzania wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) kutangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu. Katika bei hizo, watumiaji wa mafuta ya dizeli wameshuhudia ongezeko la bei zaidi ikilinganishwa na wale wa petroli na mafuta ya taa. Kwa…

Read More