Kiwanda cha nguzo za zege Tabora chakamilika, kitaongeza uhakika wa umeme
Tabora. Serikali kupitia kampuni tanzu ya Shirika la Umeme Tanzania Tanesco), Tanzania Concrete Poles Manufacturing Company (TCPM), imekamilisha ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza nguzo za zege kilichogharimu zaidi ya Sh8 bilioni mkoani Tabora. Kiwanda hicho kina uwezo wa kuzalisha zaidi ya nguzo 100 za zege kwa siku. Ujenzi wa kiwanda hicho ulianza Oktoba 2024 na…