Vijana 6,000 kufanya kazi nje, Serikali kuwachongea njia
Dodoma. Serikali imesema licha ya kutoa fursa kwa vijana kupata mafunzo ya uanagenzi bila gharama, mwitikio bado ni hafifu. Hata hivyo, imetangaza mkakati wa kuwaunganisha zaidi ya vijana 6,000 katika fursa za kimataifa, ambapo awamu ya kwanza vijana 1,000 watakwenda kufanya kazi nchini Qatar. Kauli hiyo imetolewa Jumanne Machi 3, 2026 na Waziri wa Nchi,…