Mazishi ya El Mencho Yafanyika Katika Hali ya Ulinzi Mkali Mexico
Global Publishers March 3, 2026 0 Comments Kiongozi wa genge la dawa za kulevya la Jalisco New Generation Cartel (CJNG), Nemesio Oseguera Cervantes maarufu kama “El Mencho,” alizikwa Jumatatu katika jeneza la dhahabu, akizungukwa na ulinzi mkali wa jeshi katika mji wa Zapopan, karibu na Guadalajara, jimbo la Jalisco, Mexico. Afisa wa serikali alithibitisha kuwa…