MWENYEKITI WA KAMATI YA TEITI ATEMBELEA MGODI WA DHAHABU WA GEITA, AAHIDI USHIRIKIANO NA WADAU WOTE

📍Geita. Mwenyekiti wa Kamati ya TEITI, Balozi Wilson Masilingi, ametembelea Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold Mining Limited akiambatana na Menejimenti ya TEITI, kwa lengo la kujitambulisha na kufanya mazungumzo na menejimenti ya mgodi huo. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Balozi Masilingi alisema ziara hiyo imelenga kujenga na kuimarisha ushirikiano kati ya TEITI na wadau…

Read More

Wanne wafariki Monduli kwa mafuriko

Arusha. Watu wanne wamefariki dunia wilayani Monduli mkoani Arusha kufuatia mvua kubwa zilizosababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo. Mafuriko hayo pia yamesababisha uharibifu wa miundombinu na mali za wanafunzi katika Shule ya Msingi Engaruka Juu, hali iliyosababisha shule hiyo kufungwa kwa muda. Akizungumza na Mwananchi leo Jumapili Machi 15, 2026, Mkuu wa Wilaya ya Monduli,…

Read More

ENDELEENI KUIMARISHA UFUATILIAJI WA UTEKELEZAJI WA MTAALA ULIOBORESHWA.

Serikali imeitaka Taasisi ya Elimu Tanzania kuendelea kuimarisha ufuatiliaji wa tathimini ya utekelezaji wa  mitaala iliyoboreshwa ili kuleta matokeo chanya katika jamii. Hayo yamesemwa leo tarehe 4/3/2026 na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia  Mhe. Wanu Hafidh Ameir alipofanya ziara ya siku moja katika taasisi hiyo ili kupata uelewa wa majukumu mbalimbali yanayofanywa na…

Read More

WAZIRI MASAUNI AHIMIZA VIJANA KULINDA MISINGI YA MUUNGANO

Na; Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu nchini na vijana kuendelea kulinda na kutetea misingi ya Muungano iliyoachwa na Waasisi. Mhe. Mhandisi Masauni ameyasema hayo Aprili 06, 2026 Jijini Dar es Salaam wakati akifungua kongamano…

Read More

SERIKALI YAENDELEA KUJIDHATITI UDHIBITI WA MAGONJWA ADIMU

Na Hassan Kimweri, WAF – Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo katika Sekta ya Afya, inaendelea kujidhatiti kwa kuimarisha mifumo ya huduma za afya kupitia tafiti mbalimbali ili kuhakikisha wagonjwa wenye magonjwa adimu wanapata huduma stahiki kwa wakati. Hayo yamesemwa leo Machi 4, 2026 na Mganga Mkuu…

Read More