Matumaini, mashaka ziara ujumbe UN Tanzania

Dar es Salaam. Ujumbe wa Umoja wa Mataifa (UN), umeanza vikao vya mazungumzo na vyama vya siasa kuhusu demokrasia na utawala bora nchini, huku baadhi ya vyama vikishindwa kutoa msimamo iwapo vitashiriki au havitashiriki. Lakini, ziara ya Parfait Onanga-Anyanga, mwakilishi wa Katibu Mkuu wa UN, imewagawa wadau, wengine wanapongeza na wengine wanatilia shaka, wakisema hawataki…

Read More

MoCU Yatangaza Nafasi za Kazi 20+ Katika Fani Mbalimbali, Mwisho wa Maombi Machi 27

Global Publishers March 16, 2026 0 Comments Dar es Salaam, Machi 16, 2026 – Moshi Co-operative University (MoCU) imefungua rasmi fursa za ajira kwa Watanzania katika nafasi mbalimbali za kielimu na utafiti kwenye Main Campus, Moshi na Kizumbi Institute of Co-operative and Business Education (KICoB), Shinyanga.  NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI 14-03-2026…

Read More

VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAPELEKA HUDUMA ZA MAKAMBI YA AFYA BURE KWA WAKAZI WA MOROGORO.

Morogoro, Tanzania, 10 March 2026: Miaka ya hivi karibuni, magonjwa yasiyoambukiza yanaendelea kuwa changamoto kubwa kwa afya ya jamii nchini Tanzania. Magonjwa kama shinikizo la damu, kisukari, magonjwa ya moyo pamoja na saratani yanaongezeka kwa kasi, huku wengi wakigundulika wakiwa tayari katika hatua za mwisho za ugonjwa kutokana na kukosekana kwa uchunguzi wa mapema na…

Read More

Willium Edgar atamani kuifunika rekodi yake ya msimu uliopita

MSHAMBULIAJI wa Dodoma Jiji, Edgar William amesema licha ya kiwango kizuri anachoendelea kukionyesha kwa sasa akiwa na kikosi hicho cha ‘Walima Zabibu’, lakini malengo yake makubwa ni kufunga mabao mengi zaidi ya aliyoyafunga msimu uliopita. Akizungumza na Mwanaspoti, Edgar aliyejiunga na kikosi hicho msimu huu akitokea Fountain Gate, alisema mwenendo wake mzuri unampa motisha ya…

Read More

Tanzania, Ghana zakubaliana haya | Mwananchi

Dar es Salaam. Tanzania na Ghana zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kimkakati hususan katika mageuzi ya kiuchumi, ajira kwa vijana na maendeleo ya uchumi wa kidijitali. Makubaliano hayo, yamefikiwa leo Jumatatu, Machi 1, 2026 katika mazungumzo baina ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Rais wa Ghana, John Mahama yaliyofanyika Ikulu Arusha. Taarifa iliyotolewa na…

Read More

SERIKALI YATANGAZA MPANGO WA KUONGEZA NDEGE NANE KWA ATCL KUIMARISHA USAFIRI WA ANGA KUCHOCHEA UCHUMI WA TAIFA

SERIKALI imetangaza mpango wa kuongeza ndege nane kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), hatua itakayofikisha jumla ya ndege 24 ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha usafiri wa anga na kuchochea ukuaji wa uchumi wa Taifa. Taarifa hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, kwa niaba ya Waziri wa Uchukuzi,…

Read More