WAZIRI WA MIFUGO AIPONGEZA TADB KWA KUREJESHA USHIRIKA WA WAFUGAJI, AZINDUA VITUO VYA KUKUSANYIA MAZIWA

Na Diana Deus-  Kagera. Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), kwa kushirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi, imezindua rasmi vituo 23 vya kukusanyia maziwa (Milk Collection Centers – MCCs) vilivyojengwa na kuboreshwa kupitia Mradi Shirikishi wa Wasindikaji na Wazalishaji wa Maziwa Tanzania (TI3P). Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Dkt. Bashiru Ally…

Read More

El Mencho azikwa kwenye jeneza la dhahabu, ulinzi mkali

Mexico. Kiongozi wa genge la dawa za kulevya la Jalisco New Generation, Nemesio Oseguera Cervantes, maarufu El Mencho, amezikwa jana Jumatatu katika jeneza la dhahabu linalong’aa, likiwa limezungukwa na mashada makubwa ya maua na ulinzi mkali. Mazishi hayo yamevutia hisia mchanganyiko ya heshima, hofu na sintofahamu kwa wakazi wa jimbo la Jalisco. Jeneza hilo lilielezwa…

Read More

KITULO GARDEN MARATHON KUITANGAZA NJOMBE, RC MTAKA AFUNGUKA

Na Mwandishi Wetu MKUU wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amewakaribisha Watanzania hasa wanariadha kushiriki Kitulo Garden Marathon inayotarajia kufanyika Mei 2 mwaka huu. Amesema anaamini mbio za Kitulo Garden Marathon zinakwenda kufanyika katika mwezi mzuri kwani mkoa huo utakuwa na wageni wengi ambao watakwenda kwenye sherehe za Mei Mosi hivyo kupitia mbio hizo washiriki…

FIFA Yapendekeza Kadi Nyekundu Kwa Wachezaji Wanaofunika Midomo

Global Publishers March 3, 2026 0 Comments Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amependekeza kwamba wachezaji wanaofunika midomo yao wakati wa mabishano uwanjani wapewe kadi nyekundu moja kwa moja. Kauli hii inatokana na hofu kwamba tabia hiyo inaweza kuashiria kauli zisizofaa, hasa zinazohusiana na ubaguzi wa rangi. Pendekezo la Infantino limekuja baada ya tukio lililomkumba nyota…

Read More