Utata! Mume Auza Nyumba Mke Na Mtoto Wakiwa Ndani – Video

Global Publishers March 18, 2026 0 Comments Tukio lililozua taharuki kubwa wiki iliyopita katika eneo la Mtoni Mtongani, mtaa wa Nuru, limeibua maswali mazito ya kisheria na kijamii baada ya Athumani Musa kudaiwa kuuza nyumba ya familia bila kumshirikisha mke wake, Neema. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, Athumani anadaiwa kufanya uamuzi wa kuuza nyumba hiyo…

Read More

Trump alaumiwa kwa kufurahia kifo cha bosi wa zamani wa FBI

Dar es Salaam. Rais wa Marekani, Donald Trump, amekumbana na wimbi la lawama baada ya kutoa kauli iliyotafsiriwa kuwa ya kikatili kutokana na kifo cha Robert Mueller, aliyekuwa mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI). Mueller, mkongwe wa vita vya Vietnam na mwanasheria aliyewahi kuongoza uchunguzi nyeti kuhusu madai ya Russia kuingilia…

Read More

TAMWA Yakumbusha Historia ya Mapambano Dhidi ya Dhuluma kwa Wanawake na Watoto

Mwasisi wa Chama Cha Wanahabari Wanawake Tanzania(TAMWA),Fatma Aloo akizungumza wakati wa Iftari iliyofanyika katika Ofisi za TAMWA jijini Dar es Salkaam kwa kuunganisha Waandishi wa habari wakongwe na wakati na wasasa. Iftaru hiyo imefanyika Machi 06, 2026. CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Tanzania Media Women’s Association (TAMWA), kimesisitiza umuhimu wa kuendeleza harakati za…

Read More

Serikali yatoa ahadi ulinzi wa bahari IORA ikiadhimisha miaka 29

Dodoma. Tanzania imesema ulinzi wa bahari na rasilimali zake utaendelea kupewa kipaumbele, hasa katika kipindi hiki ambacho Dunia inapitia changamoto ya mabadiliko ya tabianchi. Kauli hiyo imetolewa leo, Jumamosi, Machi 7, 2026, na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira anayeshughulikia Mazingira, Balozi Baraka Luvanda, wakati wa maadhimisho ya Siku…

Read More

KWAHANI FC MABINGWA MASAUNI CUP

Na; Mwandishi Wetu, Unguja TIMUya Kwahani FC imetwaa ubingwa wa Masauni Cup baada ya kuichapa Mwembeladu FC kwa changamoto ya mikwaju ya penati 1-0 baada ya sare ya bao 1-1 katika muda wa kawaida na kujinyakulia kombe pamoja na kitita cha shilingi milioni tano. Kwahani FC ndio walitangulia kupata bao katika muda wa kawaida lililofungwa…

Read More

TALGWU yatangaza safari ya kupata viongozi wapya

Dar es Salaam. Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU), kinatarajiwa kufanya uchaguzi wa kupata viongozi wapya kuanzia ngazi ya matawi hadi Taifa Aprili na kukamilika Septemba 2026. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa leo Jumatano Machi 18,2026 na Kaimu Katibu Mkuu wa TALGWU, Wandiba Ngocho, katika uchaguzi huo kutakuwa na uchaguzi mkuu wa…

Read More

Prisons v Yanga kupigwa Ali Hassan Mwinyi Tabora

Siku moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuufungia Uwanja wa Sokoine kwa kukosa sifa ya kuchezewa mechi za mashindano yaliyo chini ya shirikisho hilo, Tanzania Prisons imehamishia mechi yake dhidi ya Yanga mkoani Tabora kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Sokoine umefungiwa jana Machi 8, 2026 ikiwa ni muda mfupi baada ya mechi…

Read More

TAKUKURU Temeke llivyochukulia Hatua Kero ya Wananchi Buza

Bukos Richard February 27, 2026 0 Comments Dar es Salaam: 27 Machi 2026, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa TAKUKURU wa Temeke jana umetoa taarifa kufuatia kero ya Wananchi wa Buza inayosambaa mitandaoni.Akizungumza kwenye mkutano na wanahabari jana Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa TAKUKURU Temeke, Holle Makungu amesema kero ya wananchi…

Read More