Jukwaa la vijana lazinduliwa Mtwara, Waziri ahimiza ushiriki wa sekta binafsi
Mtwara. Katika juhudi za kuendelea kuwezesha vijana jukwaa la vijana nchini limezinduliwa mkoani Mtwara limefunguliwa mahususi kutoa elimu ya fedha na mafunzo ya ujasiriamali yatakayowasaidia kujishughulisha kiuchumi na kujiingizia kipato. Ufunguzi wa jukwaa hilo linalowaunganisha vijana nchi nzima ni mwendelezo wa jitihada za Serikali kwa kushirikiana na CRDB Bank Foundation. Katika uzinduzi huu ulioongozwa na…