TANZANIA YAENDELEA KUJITANGAZA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN 2026

…….. Tanzania inaendelea kujitangaza kimataifa katika maonesho ya utalii ya ITB Berlin 2026, ambapo Makumbusho ya Taifa laTanzania (NMT) inashiriki kikamilifu katika kampeni ya “Tourism Beyond Safaris.” Katika maonesho hayo, NMT inatangaza vivutio vya utalii wa urithi wa historia na utamaduni kama vile Olduvai Gorge pamoja na magofu ya Kilwa Kisiwani na maeneo mengine ya…

Read More

Ewura yatangaza bei mpya, mafuta yapanda

Dar es Salaam. Watumiaji wa bidhaa za mafuta Tanzania wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) kutangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu. Katika bei hizo, watumiaji wa mafuta ya dizeli wameshuhudia ongezeko la bei zaidi ikilinganishwa na wale wa petroli na mafuta ya taa. Kwa…

Read More

Raia hubeba mzigo mkubwa huku migomo na uhamaji ukiongezeka – Masuala ya Ulimwenguni

© WFP/Arete/Ali Yunes Mtoto mdogo anajiwasha moto mdogo katika maegesho ya magari ya Beirut yanayopokea familia zilizohamishwa kutoka kusini mwa Lebanon na maeneo mengine ya nchi. Alhamisi, Machi 19, 2026 Habari za Umoja wa Mataifa Mgogoro katika Mashariki ya Kati unaendelea, huku migomo inayoendelea katika eneo hilo ikisababisha vifo vya raia, kufurushwa na kuongezeka kwa…

Read More

Diarra njia nyeupe, apewa mmoja mpya kikosini

INAWEZEKANA unafuatilia matokeo tu ya Simba, Yanga na Azam FC namna zinavyokimbizana msimu huu, lakini kuna vita nyingine ngumu ipo kwenye mabao yao kwani makipa wa timu hizo wanatoana jasho kwa ubora mkubwa huku Djigui Diarra akionekana hana mpinzani wa karibu kwa sasa. Diarra mmoja kati ya makipa bora kuwahi kutokea kwenye ligi yetu, msimu…

Read More

Ripoti yabainisha pengo uchimbaji endelevu Bulyanhulu, Barrick yajibu

Ripoti mpya ya utafiti imeibua taswira ya pande mbili katika sekta ya madini nchini, ikionesha mafanikio ya uwekezaji na uwajibikaji wa kampuni, lakini pia ikifichua mapengo ya ushirikishwaji wa jamii, uwazi wa taarifa na mifumo ya kushughulikia malalamiko. Ripoti hiyo iliyoandaliwa na HakiRasilimali kwa kutumia viwango vya kimataifa vya Towards Sustainable Mining (TSM), imechambua hali…

Read More

Masaju akomaa na haki za raia

Dar es Salaam. Wakati Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, akiwataka majaji na mahakimu kuhakikisha wanatenda haki, kuzingatia maadili na kujiepusha na vitendo vya rushwa, wadau wamesema azma hiyo itafanikiwa iwapo wahusika watatengenezewa mazingira mazuri ya kazi. Aidha, mkuu huyo wa muhimili wa Mahakama amewaeleza watendaji hao kutekeleza majukumu yao bila kusubiri au kufuata maelekezo,…

Read More