MWANAMKE NDIYE MSINGI WA MAADILI KATIKA JAMII

Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Kahama, Martha Kapela akizungumza na wanawake juu ya majukumu ya wanawake katika malezi, elimu ya maadili, na utunzaji wa familia huku akiwahimiza walimu kushirikiana katika malezi ya watoto shuleni. Na Neema Nkumbi, Kahama Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Kahama, Martha Kapela, amesema mwanamke ndiye chanzo cha maadili katika jamii, huku…

Read More

Atupwa jela miaka 12 kwa kumuua mkewe

Mtwara. Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mtwara, imemuhukumu kifungo cha miaka 12 jela Ally Abrahaman (45), mkazi wa Kijiji cha Mbagala-Mbuyuni, Kata ya Mkokona mkoani Mtwara, baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia. Abrahaman alipatikana na hatia ya kumsababishia kifo Catherine Chivale (69), ambaye ni mkewe, baada ya kumshambulia kwa kumpiga sehemu…

Read More

Tanzania yaeleza utayari mwenyeji wa mkutano IPU Arusha

Dar es Salaam. Bunge la Tanzania limetia saini makubaliano ya kuwa mwenyeji wa mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2026 jijini Arusha. Utiaji saini huo pia umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Bunge na Serikali wakiwamo Rais wa IPU ambaye pia ni Spika mstaafu Dk Tulia Ackson, Naibu Waziri wa…

Read More

Rais Samia Atoa Pole Vifo, Ajali Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma

Rais Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Nyakoro Sirro, kufuatia vifo vilivyotokana na ajali mbili tofauti zilizotokea asubuhi ya Machi 13, 2026 katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu, ajali ya kwanza ilihusisha boti iliyokuwa imewabeba watumishi wa afya waliokuwa wakisafiri kutoka…

Read More

Wadau wataja suluhisho la foleni majiji makuu nchini

Dar es Salaam. Wakati Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega akitafuta suluhisho la foleni nchini, wadau mbalimbali wametoa mapendekezo ya namna ya kumaliza changamoto hiyo inayodidimiza uchumi wa Watanzania. Februari 23, 2026, wakati akizungumza na Jumuiya ya Wanafunzi wa Fani za Uhandisi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Ulega alitangaza zawadi ya Sh10 milioni…

Read More