Fountain Gate yailaza Mbeya City kwao

MBEYA City imeendelea kuwa na matokeo ya kusuasua kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kuchapwa bao 1-0 na Fountain Gate kwenye mechi kali ya kufunga mzunguko wa kwanza kwa timu hizo iliyopigwa leo Machi 3, 2026 kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Mbeya City ambayo ipo chini ya kocha mzoefu, Mecky Maxime, haijafanya vizuri kwenye mechi…

Read More

Rais Samia atoa Bilioni 15 Maboresho Shule ya Polisi Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu,Kilimanjaro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa  Shilingi Bilioni 25 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa wakati wa Kikao cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi kilichofanyika mwaka 2024 lengo ikiwa kuifanyia maboresho Shule cha Polisi Kilimanjaro ambacho kinakabiliwa na uchakavu wa Majengo ambayo yalijengwa tangu  mwaka 1933…

Read More

Michango mashuleni kikwazo kwa watoto wenye mazingira magumu

Dodoma. Walezi wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu wametaja wingi wa michango ya wanafunzi shuleni kuwa inawakwamisha katika kufikia malengo na kuomba Serikali iwasaidie kutoa mwongozo. Kauli hiyo imetolewa leo Jumapili Machi 8,2026 na Mkurugenzi wa Kituo cha kulea watoto yatima na wenye mahitaji maalumu cha Rahman Day Care Center,  Rukia Abllah wakati akipokea vyakula…

Read More

JIONI YA BARAKA FAMILIA YA OYA YASHIRIKI IFTAR NA JAMII

Taasisi ya Oya Micro-crediti imeandaa futari maalum kwa wateja wake na jamii kwa ujumla tukio lililolenga kuimarisha mshikamano wa kijamii. Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ni wakati wa kutafakari, kushukuru, na kushirikiana na jamii katika kujitoa kwenye mambo mablimbali. Kwetu OYA, tunaamini kuwa mafanikio ya kweli hayapimwi tu kwa ukuaji wa biashara, bali pia kwa mchango…

Read More

WANANCHI WA MPANDA KUNUFAIKA NA MRADI WA TACTIC

****** ‎Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa   ya Mpanda, Bw. Gwalusajo Kapande amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa Uendelezaji wa Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) katika Manispaa hiyo utaleta mabadiliko chanya kwa wana Mpanda na wageni katika utoaji huduma na mahitaji mbalimbali ya usafiri na usafirishaji, mazingira bora ya shughuli za kiuchumi na ongezeko la mapato…

Read More