Pacome atengwa Yanga ikipiga tizi la mwisho kabla ya Dabi

ZIKIWA zimesalia saa chache ipigwe mechi ya Dabi ya Kariakoo kwenye Uwanja wa New Amaan Complex hapa Unguja, kikosi cha Yanga leo Februari 28, 2026 kimefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo, huku mchezaji nyota wa timu hiyo, Pacome Zouzoua akionekana kufanya mazoezi peke yake. Pacome aliripotiwa kuwa kwenye matibabu ya majeraha aliyoyapata na kwamba…

Read More

Hivi ndivyo 2028 itakavyoyapokea madarasa mawili sekondari

Dar es Salaam. Utekelezaji wa Sera ya Elimu ya elimu na Mafunzo unaendelea kuchukua sura mpya nchini, huku Serikali ikijiandaa kukabiliana na changamoto ya ongezeko kubwa la wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza ifikapo mwaka 2028. Katika mwaka huo, Tanzania inatarajiwa kushuhudia madarasa mawili ya wanafunzi kutoka elimu ya msingi yakijiunga kwa pamoja na…

Read More

WAFANYAKAZI BARRICK BULYANHULU WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUWAPA FARAJA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM BUPAMBA

Wafanyakazi Wanawake wa Barrick Bulyanhulu wakigawa zawadi mbalimbali na kuwafariji watoto wenye mahitaji maalum wanaosoma katika shule ya msingi ya wanafunzi wenye mahitaji maalum ya Bupamba iliyopo halmashauri ya Nyang’hwale mkoani Geita katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Wafanyakazi Wanawake wa Barrick Bulyanhulu wakigawa zawadi mbalimbali na kuwafariji watoto wenye mahitaji maalum wanaosoma katika shule…

Read More

Profesa Mahalu aagwa Dar, wanazuoni wasema…

Dar es Salaam. Mwili wa mwanadiplomasia na mwanazuoni nguli, Profesa Costa Mahalu umeagwa jijini Dar es Salaam, huku wanazuoni na wanasiasa wakimtaja kuwa miongoni mwa viongozi waliopenda kuibua vipaji na kuendeleza vijana waliokuwa vyuoni. Mbali na hilo, wamesema Profesa Mahalu ambaye alikuwa Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Mt Augustine (Saut) alikuwa mhamasishaji mnyenyekevu, mpenda…

Read More

MAADHIMISHO YA WIKI YA HAKI ZA MLAJI YAENDELEA KITAIFA

 Mkaguzi wa Bidhaa bandia kutoka FCC Bi.Diana Augustine akitoa elimu kuhusiana madhara ya bidhaa bandia katika shule ya Msingi Bunge ikiwa ni sehemu ya kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Siku ya Haki za Mlaji Duniani. …. TUME ya Ushindani (FCC) leo Machi 19,2026 imetoa elimu kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Bunge kuhusu masuala ya kumlinda…

Read More

Kiu ya ubingwa yaitesa KVZ

KATI ya timu za vikosi zinazoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) ambazo hazijawahi kubeba ubingwa wa ligi hiyo, KVZ ni mojawapo tangu kuanza kwa ligi hiyo mwaka 1984. Nyingine ni Uhamiaji. Akizungumza na Mwanaspoti, kiungo mshambuliaji wa KVZ, Seif Said Seif ‘Tiote’ amewasihi mshabiki kutochoka kuwasapoti kwani nao wanapambana kuhakikisha taji linapatikana. “Tunajua mashabiki wa KVZ…

Read More

KATIBU MKUU CCM AFUNGUA MAFUNZO YA UONGOZI NA UTAWALA BORA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Asha-Rose Migiro, leo Jumatatu,Machi 9,2026, amefungua rasmi mafunzo maalum ya Uongozi na Utawala Bora kwa viongozi na watendaji waandamizi wa Chama yanayofanyika katika Ukumbi wa Mount Royal, Mkoani Iringa. Mafunzo hayo ya siku nne yameandaliwa na Jitegemee Holdings Company Limited (JHCL) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wakurugenzi…

Read More