Minara mipya 600 ya simu kujengwa Tanzania

Dar es Salaam. Serikali inajiandaa kuanza ujenzi wa minara mipya 600 katika maeneo ya pembezoni mwa nchi, huku Kamati ya Bunge ya Miundombinu ikisisitiza usimamizi wa ubora wa miundombinu hiyo ili kuhakikisha inakidhi mahitaji ya wananchi. Agizo hili limetolewa kufuatia malalamiko ya minara isiyokuwa na ubora, ambayo husababisha kushindwa kutoa huduma bora, hasa katika maeneo…

Read More

DC NYAMWESE AWAPA SOMO WANAWAKE HANDENI MJI MATUMIZI YA SIMU JANJA KIBIASHARA

    Na Mwandishi Wetu, Handeni Wanawake katika Halmashauri ya Mji Handeni wametakiwa kutumia simu janja na teknolojia ya kidijitali kwa kuwa ni nyenzo muhimu ya kukuza biashara na kujikwamua kiuchumi kupitia fursa mbalimbali zinazopatikana mtandaoni.  Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Salum Nyamwese ameyasema hayo wakati akizindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi katika kongamano…

Read More

Kinda Mtanzania atimkia Manchester | Mwanaspoti

SAFARI ya kinda wa Kitanzania, Gwakisa Mwakipesile  imeanza kuonja ladha ya ushindani wa soka katika Ligi Kuu ya Vijana England baada ya kucheza mechi yake ya kwanza kwa walio na umri chini ya miaka 18. Mwakipesile anayekipiga katika timu ya vijana ya Manchester Rose FC alipata nafasi ya kucheza Alhamisi wakati timu hiyo ilipokutana na…

Read More

Migogoro ya ardhi bado mfupa mgumu

Dar es Salaam. Migogoro ya ardhi imeendelea kuwa mfupa ulioshindikana kuvunjika, baada ya malalamiko yake kutawala ziara za Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba na viongozi wengine. Awali, Serikali ilitangaza hatua mbalimbali, ikiwamo upimaji wa ardhi na utoaji wa hati za kimila hasa vijijini, lakini hazikuwa muarobaini wa changamoto migogoro hiyo. Malalamiko zaidi yaliyowasilishwa na wananchi…

Read More

Chaumma yaingia TCD na matarajio makubwa

Dar es Salaam. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimedhamiria kutumia uanachama wake wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika kukuza demokrasia nchini. Hayo yamebainishwa  Machi 13, 2025 jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Chaumma, Salum Mwalimu wakati wa Iftar iliyoandaliwa na TCD, ikiwashirikisha wadau tofauti wa demokrasia vikiwamo vyama vya siasa. Akizungumza…

Read More

Malindi hali mbaya Ligi Kuu Zanzibar

TIMU ya Malindi FC inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar, imepoteza matumaini baada ya kutoka kuwania ubingwa wa ligi hiyo hadi kupambana isishuke daraja. Sababu mojawapo inayotajwa kuiangusha timu hiyo ni mabadiliko ya mara kwa mara ya uongozi uliosababishwa na wengine kujiuzulu huku baadhi ya wachezaji muhimu nao kuondoka katikati ya msimu. Hivi karibuni, Mwenyekiti wa timu…

Read More