Ukraine yageukia gesi ya Msumbiji kukabili uhaba

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameeleza mpango wake wa kutaka kuagiza gesi asilia kutoka Msumbiji ikiwa ni juhudi za kukabiliana na uhaba wa rasilimali hiyo nchini mwake, ambapo miundombinu yake imeharibiwa kutokana na vita dhidi ya Urusi. Zelensky amefanya mazungumzo na mwenzake wa Msumbiji, Rais Daniel Chapo, jana Jumatatu Machi 23, 2026 na kueleza hatua…

Read More

WATANZANIA SABA WAWASILI NCHINI KUTOKEA IRAN

Watanzania SABA waliokuwa nchini Iran wamewasili jijini Dar es Salaam Machi 13, 2026, kufuatia operesheni ya uokozi iliyoratibiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Watanzania hao wamewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 8:40 usiku kwa kutumia Shirika la Ndege la Uturuki, wakitokea nchini Uturuki ambako walipokewa awali…

Read More

Yanga Soccer School kuanza kusaka mastaa kitaa

YANGA inaendelea na mikakati ya kuhakikisha mpira wa miguu hapa nchini unakua na kutengeneza vijana waliopitia njia sahihi za kulelewa katika misingi inayotakiwa ili kuzitimiza ndoto zao. Hivi karibuni, klabu hiyo ilitangaza programu ya Yanga Soccer School, ambapo awamu hii umeongezeka udhamini wa GSM Foundation ili kuwasaidia vijana wasiokuwa na uwezo kifedha lakini wana vipaji…

Read More

KWAHANI FC MABINGWA MASAUNI CUP

Na; Mwandishi Wetu, Unguja TIMUya Kwahani FC imetwaa ubingwa wa Masauni Cup baada ya kuichapa Mwembeladu FC kwa changamoto ya mikwaju ya penati 1-0 baada ya sare ya bao 1-1 katika muda wa kawaida na kujinyakulia kombe pamoja na kitita cha shilingi milioni tano. Kwahani FC ndio walitangulia kupata bao katika muda wa kawaida lililofungwa…

Read More

ZFDA yateketeza kilo 2,447 za nyama zilizoharibika

Unguja. Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) umeteketeza kilo 2,447 za nyama mchanganyiko baada ya kubainika kuwa hazifai kwa matumizi ya binadamu. Akizungumza baada ya kuteketeza nyama hizo leo Jumapili Machi 8, 2026 katika jaa kuu la Serikali Kibele, Daktari wa Mifugo wa ZFDA, Thamra Khamis Salum amesema bidhaa hizo ziliingizwa nchini na Kampuni…

Read More