Meli Tatu Za Marekani Na Uingereza Zashambuliwa Katika Mlango Wa Hormuz
Bakari Mahundu March 2, 2026 0 Comments Mvutano katika Ghuba ya Uajemi umeongezeka kwa kiwango kikubwa baada ya meli tatu za mafuta zinazodaiwa kuhusishwa na Marekani na Uingereza kushambuliwa karibu na mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, wakati mapigano kati ya Marekani na Iran yakiendelea kuimarika. Tukio hili limezua hofu kubwa miongoni mwa washirika…