Waandamanaji wa Irani waliofungwa wanakabiliwa na hukumu ya kunyongwa ‘haraka’ – Global Issues

The Ujumbe Huru wa Kimataifa wa Kutafuta Ukweli (FFM) kuhusu Iranambayo iliundwa na Baraza mnamo 2022, ilisema ina wasiwasi mkubwa juu ya ulinzi wa wafungwa, pamoja na kuongezeka kwa ghasia zinazoendelea kuathiri Lebanon na Mataifa mengi ya Ghuba. Jopo la wataalam huru wa haki walitaja ripoti za kuaminika “kwamba wengi (wafungwa nchini Iran) wako katika…

Read More

VIJANA WANAGENZI KIGAMBONI WAANZA KUNG’ARA KATIKA MAKAMPUNI MAKUBWA NCHINI

Na. OWM- KAM,Dar es Salaam Programu ya Taifa ya Kukuza Ujuzi nchini imeanza kuonyesha matokeo ya dhahiri kwa vitendo baada ya idadi kubwa ya vijana waliopata mafunzo katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi (FDC) Kigamboni kufanikiwa kupata ajira katika makampuni makubwa na taasisi za kimkakati hapa nchini.  Mafanikio hayo yamethibitika kufuatia ufuatiliaji uliofanyika kwa wahitimu…

Read More

Madhara wanawake wanaotumia steroidi kujenga misuli

Watu wanapofikiria kuhusu watu wanaokwenda vituo vya mazoezini (gym) huku wakitumia steroidi, picha inayokuja akilini mara nyingi ni ya wanamume wanaonyanyua vyuma vizito, kama Arnold Schwarzenegger, au washawishi wa kisasa wa mitandao ya kijamii wanaoonyesha misuli yao. ​Lakini leo taswira hiyo inabadilika. Wanawake sasa wanawakilisha sehemu inayokua ya watu wanaotumia steroidi.  Kitaalamu, steroidi kwa Kiingereza…

Read More

Bato saba kali Azam vs Yanga kwa Mkapa

KUNA mechi kubwa itapigwa Jumapili hii Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ambapo wenyeji Azam FC watakapokutana na bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga, nenda kaone ufundi mwingi kwenye dabi hiyo ya Dar es Salaam. Mchezo huo utakuwa wa kwanza msimu huu kwa timu hizo kukutana kwenye ligi lakini kama unavyofahamu hakuna…

Read More

Majeraha yavuruga mipango ya Yanga kutetea ubingwa

UNA mabao ya Yanga yapo nje kutokana na mitambo ya mabao kupata majeraha na kupewa muda wa kupumzika ili kutibiwa irejee kwenye ufiti. Kukosekana kwao kumechambuliwa na watalamu jinsi inavyoleta athari hasi. Katika mechi 15 Yanga imeshinda 11, sare nne, inamiliki mabao 31, imefungwa mawili, ina pointi 37. Kati ya mabao hayo Prince Dube kafunga…

Read More

Neno la Cabaye akiuguza goti

KIUNGO wa Tanzania Prisons, Abdallah Masoud ‘Cabaye’ ambaye kwa sasa yupo nje ya uwanja akiuguza jeraha la goti ameweka wazi kuwa bado ana matumaini makubwa ya kurejea mapema kuisaidia timu hiyo kupambana na hatari ya kushuka daraja. Cabaye alipata jeraha hilo Novemba 26, 2025 wakati Tanzania Prisons ilipokubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Fountain…

Read More