Prisons yaachana na Otieno, Nsajigwa atajwa kumrithi

BAADA ya Tanzania Prisons kufikia makubaliano ya pande mbili kuachana na Kocha Zedeckia Evans Otieno, inaelezwa iko katika hatua nzuri ya mikoba yake kumkabidhi Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’ kutoka kwa maafande wa Transit Camp. Taarifa ya Tanzania Prisons kuachana na Otieno iliyotolewa leo Februari 25, 2026 na Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, ‎Godfrey Madegwa, imesema:…

Read More

‘Mfano wa Kimamlaka Imara Kiuchumi Unaweza Kuimarishwa’ – Masuala ya Ulimwenguni

na CIVICUS Jumatano, Machi 11, 2026 Inter Press Service CIVICUS inajadili hali nchini Venezuela kufuatia uingiliaji kati wa Marekani na kuondolewa madarakani kwa Rais Nicolás Maduro pamoja na Verónica Zubillaga, mwanasosholojia wa Venezuela ambaye ni mtaalamu wa ghasia za mijini, ukandamizaji wa serikali na majibu ya jamii kwa ghasia za kutumia silaha. Veronica Zubillaga Mwishoni…

Read More

Aliyeua kutelekeza mwili kando ya barabara, kunyongwa

Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Songea, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Deo Ramadhani, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua Melania Christian na kuutelekeza mwili wake kando ya barabara ya Mahinya, Songera. Mauaji hayo yalitokea Julai Mosi 2023, ambapo mwili huo ulikutwa ukiwa umefunikwa na kanga, katika Kijiji cha Mlilayoyo, Wilaya ya Namtumbo,…

Read More

MKUU WA MKOA KATAVI AAGIZA UTII WA SHERIA ZA TASAC

Na Mwandishi Wetu,Katavi Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, ameagiza wadau wote wa usafiri majini na shughuli zinazohusiana na uendeshaji wa vyombo vya majini mkoani humo kuhakikisha wanatii kikamilifu sheria na taratibu zinazosimamiwa na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC). Mrindoko ametoa maagizo hayo leo tarehe 27 Februari, 2026, alipokutana na watalaam wa…

Read More

Nsajigwa aanza hesabu za Yanga

BAADA ya kuanza na pointi moja dhidi ya Azam FC, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Shadrack Nsajigwa amesema hesabu zinahamia kwa Yanga kabla ya mchezo wa Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya TMA inayocheza  Championship. Nsajigwa aliyejiunga na maafande hao hivi karibuni kurithi mikoba ya Zedekiah Otieno, juzi aliiongoza timu hiyo ilitoshana nguvu dhidi…

Read More

Uvumilivu, bidii, imani vilivyobadili maisha ya Benedicta

Dar es Salaam. Katika jamii nyingi za Kitanzania, ndoto za mtoto wa kike mara nyingi hukwama njiani kutokana na changamoto za kiuchumi, mila na mitazamo potofu. Hata hivyo, simulizi ya Benedicta Mrema ni ushuhuda kuwa bidii, uvumilivu na imani vinaweza kubadili mkondo wa maisha. Ni hadithi ya binti aliyekataa kukata tamaa licha ya vikwazo vilivyoonekana…

Read More

Masaju akomaa na haki za raia

Dar es Salaam. Wakati Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, akiwataka majaji na mahakimu kuhakikisha wanatenda haki, kuzingatia maadili na kujiepusha na vitendo vya rushwa, wadau wamesema azma hiyo itafanikiwa iwapo wahusika watatengenezewa mazingira mazuri ya kazi. Aidha, mkuu huyo wa muhimili wa Mahakama amewaeleza watendaji hao kutekeleza majukumu yao bila kusubiri au kufuata maelekezo,…

Read More

Fei Toto abeba zigo kubwa Dar es Salaam Dabi

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, kesho Jumapili anakutana na waajiri wake wa zamani Yanga katika mechi ya Ligi Kuu Bara huku akiwa na zigo zito linalomkabili. Nyota huyo ambaye huu ni msimu wa tatu anaitumikia Azam tangu alipojiunga nayo 2023-2024 akitokea Yanga. Kwa msimu huu, tayari Fei Toto amevunja rekodi yake…

Read More