Jafary Maneno wa JKT humwambii kitu kwa Pacome, Chama

KIUNGO mshambuliaji wa JKT Tanzania, Jafary Maneno, amewataja baadhi ya wachezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara anaowakubali na kwamba anajifunza mengi kutoka kwao. Maneno alisema wachezaji hao ni Pacome Zouzoua na Maxi Nzengeli wanaocheza Yanga, pia Elie Mpanzu, Libasse Gueye na Clatous Chama wanaokipiga Simba, huku akibainisha wanachokifanya uwanjani vinamvutia na kujifunza vingi. “Wapo wengi…

Read More

Walimu hawana miujiza kumbadili mwanao

Dar es Salaam. Katika jamii nyingi za leo, imezuka dhana potofu kwamba kazi ya kulea watoto ni ya walimu. Wazazi wengi wamejikuta wakitelekeza jukumu lao la msingi, wakikabidhi watoto wao kwa walimu kana kwamba shule ndiyo nyumba ya pili ya mtoto kwa kila jambo. Mtoto anaposhindwa kimaadili au kielimu, lawama huelekezwa kwa walimu kwa haraka mno,…

Read More

Ndoa si mbio za kasi, ni za masafa marefu

Ukiwaona wanandoa wapya wakitembea kwa bashasha, nyuso zikiwa zimejaa matumaini na mioyo ikidunda kwa ahadi za kesho njema, ni rahisi kuvutiwa na uzuri wa mwanzo wao. Lakini pia, si ajabu kwa wanandoa wakongwe, waliodumu katika taasisi ya ndoa kwa miongo kadhaa, kuwakazia macho kwa tabasamu lenye kumbukumbu nyingi, furaha, majaribu na ushindi wa safari ndefu….

Read More

MAKAMU WA RAIS DKT.NCHIMBI AWASIHI VIONGOZI WA DINI KUWEKEZA KATIKA KUFUNDISHA MAADILI MEMA KWA KIZAZI CHA SAS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasihi Viongozi wa Dini kuendelea kuwekeza katika kufundisha maadili mema kwa kizazi cha sasa ili kuwa na Taifa zuri baadaye. Makamu wa Rais amesema hayo wakati aliposhiriki Futari iliyoandaliwa na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) iliyohusisha Viongozi wa Dini na…

Read More

Usikose! Nafasi 31 za Kazi Zatangazwa Halmashauri ya Liwale

Global Publishers March 21, 2026 0 Comments Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale ametangaza rasmi nafasi za kazi 31 kwa Watanzania wenye sifa, baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Tangazo hilo linahusisha nafasi katika kada tatu tofauti ambazo ni Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja…

Read More

Tanzania yawahakikishia wawekezaji mfumo bora wa kodi

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imewahakikishia wawekezaji kuwepo kwa mazingira bora, ya haki na yanayotabirika katika mfumo wa kodi kufuatia dhamira ya kutekeleza kikamilifu mapendekezo 284 ya maboresho ya mfumo wa kodi yaliyoanzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Uhakikisho huo umetolewa wakati wa Mkutano wa Kubadilishana Uzoefu na Mafunzo ya Kodi kati ya Tanzania…

Read More