Viwanda Mkoani Pwani Vyatakiwa Kuboresha Mazingira ya Kazi

Global Publishers March 4, 2026 0 Comments Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Rahma Kisuo, ameziagiza menejimenti za viwanda Mkoani Pwani kuboresha mazingira ya kazi na maslahi ya wafanyakazi ili kuwa na uzalishaji endelevu na wenye tija. Ametoa agizo hilo katika ziara yake ya kufuatilia utekelezaji wa sheria mbalimbali…

Read More

Tofauti za kijinsia zinavyoathiri uhusiano

Matatizo mengi tunayokutana nayo katika uhusiano wa kila siku yana mizizi yake katika tofauti za kijinsia. Ukweli kwamba mpenzi wako ni mwanaume na wewe ni mwanamke, au kinyume chake, unatosha kabisa kuleta tofauti fulani ambazo, zisipoeleweka vizuri, huweza kusababisha misuguano na migongano isiyo ya lazima. Ni muhimu kufahamu kwamba wanaume na wanawake tumetengenezwa tofauti kimaumbile,…

Read More

WANACHUO WAFUNZWA NAMNA YA KUEPUKA UDANGANYIFU SOKONI⁸

  Afisa Mlinda Mlaji Mwandamizi FCC Bi.Magdalena Hall,akitoa elimu kuhusu masuala ya kumlinda mlaji na mikataba ya walaji kwa wanafunzi wa Chuo Cha Ufundi Stadi VETA Kibaha ,ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Haki za Mlaji Duniani 2026. …. KATIKA harakati za kuimarisha uelewa wa haki za walaji nchini, Tume ya…

Read More

Aisha Mohamed mjumbe mpya wa Bodi ya MCL

Dar es Salaam. Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imemtangaza Aisha Mohamed kuwa mjumbe wa bodi ya kampuni hiyo, na anatarajiwa kuchangia katika kuimarisha na kukuza zaidi shughuli za kampuni hiyo ya habari nchini. MCL, ambayo ni kampuni tanzu ya Nation Media Group (NMG), imeeleza kuwa ujio wa Aisha unaongeza nguvu mpya katika uongozi wa…

Read More

Chalamila avalia njuga matukio ya utapeli Dar

Dar es Salaam. Kama wewe sio mwenyeji wa Mkoa wa Dar es Salaam na unataka kununua ardhi, magari au kuchukua mkopo wa fedha, chukua tahadhari, kwani Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametaja maeneo hayo kuongoza kwa matukio ya utapeli. Chalamila amesema waathirika wakubwa wa migogoro hiyo ya ardhi mkoani humo ni…

Read More

BALOZI MULAMULA ASHEREKEA MAFANIKIO YA WANAWAKE AFRIKA, AKEMEA UKATILI WA KIJINSIA

KUELEKEA kilelele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika kesho Machi 8, 2026, Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika kuhusu masuala ya Wanawake Amani na Usalama, Balozi Liberata Mulamula amesema anafurahishwa na mafanikio yaliyofikiwa kwa wanawake wa Afrika ikiwemo kushika nafasi za juu za uongozi yaani Urais. Pia, ameguswa na kukemea vitendo vya unyanyasaji…

Read More