BALOZI KAGANDA ATEMBELEA OFISI ZA TPA NCHINI ZIMBABWE

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Kamishna wa Polisi (CP) Suzan Kaganda, ametembelea ofisi za Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA) zilizopo mjini Harare na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa TPA nchini humo, Bi. Kulthum Boma kuhusu namna ya kuimarisha huduma na kuongeza ufanisi katika usafirishaji wa mizigo kupitia bandari za Tanzania. Ziara ya Mheshimiwa Balozi…

Read More

MAAFISA UGANI KUONGOZA MAPINDUZI YA KILIMO KILIMANJARO

****** Na Ashrack Miraji Torch Media   Serikali mkoani Kilimanjaro imeanza utekelezaji wa mkakati maalum wa kuwawezesha maafisa ugani kupitia mafunzo ya kitaalamu, ikiwa ni jitihada za kuleta mapinduzi katika sekta ya kilimo na kuongeza tija kwa wakulima. Hatua hiyo inalenga pia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi pamoja na kuinua kipato cha wakulima katika…

Read More

Cornel amrithi Almas Kasongo TPLB

ALIYEKUWA mkurugenzi wa Fedha wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Cornel Barnabas, ameteuliwa kuwa ofisa mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB). Tangu Juni, mwaka jana, nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na Ibrahim Mwayela baada ya rais wa TFF, Wallace Karia kumsimamisha aliyekuwa akihudumu katika nafasi hiyo, Almas Kasongo, kufuatia mgogoro ulioibuka baada…

Read More