Dalali wa Mahakama akamatwa, agizo la Dk Mwigulu halijatekelezwa

Arusha. Zikiwa zimepita siku 17 tangu agizo la Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba la kurejeshwa mali za mfanyabiashara wa Arusha, Josephine Shirima, mali hizo bado hazijarudishwa huku Jeshi la Polisi likimshikilia dalali wa Mahakama anayedaiwa kuhusika katika kuchukuliwa kwa mali hizo. Aidha, Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wilaya ya Arusha, Dominic Mollel, aliyekuwa anashikiliwa na polisi kwa…

Read More

Museven achaguliwa mwenyekiti mpya EAC

Arusha. Rais wa Uganda Yoweri Museveni amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Machi 2026 hadi 2028, akichukua mikoba kwa Rais wa Kenya William Ruto aliyemali muda wake. Museveni amechaguliwa leo Jumamosi, Machi 7, 2026 katika Mkutano wa kawaida wa 25 wa wakuu wa nchi wa…

Read More

Mfuko wa jimbo usiwatoe ngeu, sheria ipo wazi

Kuna misuguano ya chini kwa chini inayoendelea Tanzania Bara, kuhusu nani hasa anapaswa kuteua wajumbe wa kamati ya Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo huku baadhi ya wabunge wakiendesha mfuko huo kama mali yao binafsi. Lakini ukisoma kifungu cha 10 cha Sheria ya Mfuko wa Jimbo kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2020 na kuchapwa katika Gazeti…

Read More

Iran yashambulia kituo cha CIA Saudi Arabia

Riyadh. Kituo cha CIA kilichopo ndani ya ubalozi wa Marekani mjini Riyadh, kimeripotiwa kushambuliwa na droni zinazodaiwa kutoka Iran, katika tukio linaloashiria kuongezeka kwa mvutano wa kijeshi katika Ukanda wa Ghuba. Kwa mujibu wa vyanzo vya Saudi Arabia, droni mbili zilidondoka karibu na eneo la ubalozi na kusababisha moto mdogo pamoja na uharibifu wa mali,…

Read More

Wanne wauawa kwa tuhuma za uhalifu, kufumaniwa Mbeya

Mbeya. Watu watano wamefariki dunia jijini Mbeya, wakiwamo wanne wanaodaiwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu ikiwemo uporaji na upigaji nondo nyakati za usiku, na mmoja ameuawa kwa fumanizi. Hivi karibuni gazeti la Mwananchi liliripoti uwepo wa makundi ya uhalifu katika maeneo mbalimbali jijini Mbeya, siku chache baada ya mwandishi wa TV Imaan, Rashid Mkwinda, kuvamiwa,…

Read More

Tanzania yaeleza utayari mwenyeji wa mkutano IPU Arusha

Dar es Salaam. Bunge la Tanzania limetia saini makubaliano ya kuwa mwenyeji wa mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2026 jijini Arusha. Utiaji saini huo pia umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Bunge na Serikali wakiwamo Rais wa IPU ambaye pia ni Spika mstaafu Dk Tulia Ackson, Naibu Waziri wa…

Read More

Zijue faida za safari ya wanaanga wa NASA mwezini

Dar es Salaam. Zikiwa zimepita siku sita tangu Shirika la Anga la Marekani (NASA) kuzindua rasmi safari yake ya mwezini kupitia chombo cha Artemis II, imeelezwa kuwa tafiti zinazofanyika angani zina matokeo ya moja kwa moja kwa jamii, hususan katika sekta za afya, mawasiliano na uchumi. Miongoni mwa tafiti zinazoenda kufanyika ni pamoja na utafiti…

Read More

Dk Mwigulu awaka, aagiza mnyororo usambazaji dawa uchunguzwe

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza kufanyika uchunguzi wa haraka katika vituo vya afya vya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi, kufuatia kubainika wananchi wengi wanaelekezwa kununua dawa katika maduka ya nje, licha ya taarifa za Serikali kuonyesha dawa za kutosha zinapatikana hospitalini. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara eneo la Kibaoni ambako anaendelea…

Read More