Je, Tunawezaje Kupitia Ugonjwa wa Hali ya Hewa-Mtandao wa Asia-Pacific? – Masuala ya Ulimwenguni

Madhara ya Kimbunga Odette katika Jiji la Lapu-Lapu, Cebu, Ufilipino, 2021. Credit: Unsplash/Carl Kho Maoni na Anne Cortez (manila, Ufilipino) Jumanne, Machi 03, 2026 Inter Press Service MANILA, Ufilipino, Machi 3 (IPS) – Jamii duniani kote zinazidi kukabiliwa na vitisho vinavyoingiliana. Hali ya hewa kali, dharura za kiafya na mashambulizi ya mtandaoni yanatokea mara kwa…

Read More

EWURA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

  MWEYEKITI   wa Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya Tanzania (TUGHE) Tawi la EWURA, Herieth Kasilima, akiwaongoza baadhi ya Wafanyakazi Wanawake wa EWURA  waliojitokeza katika maadhimisho ya  kilele cha Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika   ngazi ya Mkoa wilayani Kongwa ,mkoani Dodoma leo Machi 8,2026 wakipita mbele ya mgeni rasmi wa maadhimisho…

Read More

Wizara yasisitiza tahadhari ya mafua makali, Uviko19

Dar es Salaam.  Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya, imewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari kufuatia kuendelea kwa ongezeko la mafua makali na Uviko19, ikitahadharisha kuwa hali hiyo itaendelea hadi kipindi cha Aprili na Mei, 2026. Februari 25, 2026, Wizara ilitangaza rasmi kuwepo kwa mlipuko huo, ikiwataka wananchi kuchukua hatua za kinga ili kudhibiti maambukizi….

Read More