Jamii yatakiwa kupaza sauti kukomesha ukatili wa kijinsia

Dodoma. Jamii imetakiwa kuvunja ukimya na kupaza sauti dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyowakumba wanawake, watoto na watu wenye ulemavu, ili kusaidia kukomesha vitendo hivyo na kuhakikisha wahusika wanachukuliwa hatua za kisheria. Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Machi 12, 2026, jijini Dodoma na Mkuu wa Dawati la Jinsia, Wanawake na Watoto Mkoa wa Dodoma,…

Read More

RC CHALAMILA AKUTANA NA GAVANA WA JIMBO LA MANIEMA-CONGO DRC

………. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Feb 25,2026 amekutana na Gavana wa Jimbo la Maniema-Congo DRC Mhe Mussa Kabwankubi Moise akiwa ameambatana na ujumbe wake alipomtembelea Ilala Boma Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao wamekubaliana mashirikiano katika nyanja mbalimbali ikiwemo Uchumi na Masuala ya Kiusalama kati ya Mkoa…

Read More

Msifanye ndoa zenu kuwa maabara

Canada. Neno maabara si geni masikioni mwa wengi. Ni mahali pa majaribio, pa kupima nadharia, kutengeneza nyenzo na kuthibitisha uhalali wa jambo kabla halijapelekwa kwenye matumizi halisi. Mara nyingi, maabara huanzishwa kwa lengo maalumu; zikishatimiza kusudi au zikishindwa kufikia malengo, hufungwa. Ni katika taasisi za kisayansi pekee ambapo maabara huendelea kuwapo kwa sababu ya asili…

Read More

Anayedaiwa kutapeli watalii kupitia mitandao atiwa mbaroni 

Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa KDC, Kata ya Mbokomu, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Musa Mushi (40), kwa tuhuma za kujihusisha na udanganyifu wa kutapeli watalii wanaoingia nchini wakiwamo wanaokuja kutalii kwenye Mlima Kilimanjaro. Taarifa ya kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo, imetolewa leo Machi 12, 2026 na Kamanda wa Polisi  Mkoa…

Read More

TPDC INAENDELEA NA UPANUZI WA GESI ASILIA KWA MATUMIZI YA VIWANDANI NA MAJUMBANI

Na Mwandishi wetu – Dodoma  Shirika la Maendeleo la Petroli Tanzania (TPDC) inaendelea kupanua miundombinu ya kusambaza gesi asilia kwa matumizi ya viwandani na majumbani katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara, na sasa mpango ni kufika Morogoro, Dodoma, Tanga, Kilimanjaro na Arusha. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji TPDC Mussa Makame akizungumza na…

Read More

Kocha Yanga aibuka na matatu hesabu za ubingwa Bara

YANGA ina hesabu zake za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa tano mfululizo, lakini katika hilo, inakumbana na vikwazo mbalimbali ikiwemo majeraha ya nyota wake wa kikosi cha kwanza na baadhi wameanza kurudi akiwemo Ibrahim Bacca, lakini itaendelea kuwakosa Clement Mzize na Dickson Job hadi mwisho wa msimu. Kabla ya mambo hayajaharibika…

Read More