Yanga Yamrudisha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

Global Publishers March 24, 2026 0 Comments Klabu ya Yanga, imetangaza kumrejesha kocha Abdihamid Moalin kuwa kocha Msaidizi chini ya Kocha Mkuu Pedro Gonçalves hatua ambayo klabu hiyo imeeleza kuwa imalenga kutatua changamoto ya kiufundi klabu hiyo inayopelekea kupata wakati mgumu kupata matokeo mazuri na kucheza vizuri. Taarifa ya Machi 23, 2026 iliyotolewa na klabu…

Read More

Peramiho kesho kuamua mrithi wa Jenista Mhagama

Ruvuma. Jumla ya wapigakura 127,632 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi utakaofanyika kesho Februari 26, 2026 kwa ajili ya kumchagua mbunge wa Jimbo la Peramiho na diwani wa Kata ya Shiwinga. Uchaguzi wa Peramiho unafanyika kutokana na kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Jenista Mhagama (CCM) aliyefariki dunia…

Read More

Richardson Ng’ondya atangaza vita mpya Geita Gold

KIUNGO mshambuliaji wa Geita Gold, Richardson Ng’ondya amesema kufanya vizuri kwa washindani wao wakubwa msimu huu, ni jambo linalowaongezea morali ya kupambana zaidi, ili kwa pamoja wafikie malengo ya kuirejesha tena timu hiyo Ligi Kuu. Nyota huyo, amesemaubora wa benchi la ufundi na wachezaji wa kikosi hicho unawapa motisha ya kuipambania timu hiyo ili irejee…

Read More

SMZ kutumia teknolojia kuwanasa wanaokata misitu Zanzibar

Unguja. Kutokana na kasi ya ukataji misitu inayoendelea, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeandaa mpango wa kuanza kufuatilia na kudhibiti wanaokata misitu hiyo kwa njia ya kidijitali. Hayo yamebainishwa leo Machi 23, 2026 wakati wa kuadhimisha siku ya upandaji miti duniani ambapo kitaifa kwa Zanzibar imefanyika katika Shehia ya Muyuni, Wilaya ya Kusini, Mkoa…

Read More

Ewura yatangaza bei mpya, mafuta yapanda

Dar es Salaam. Watumiaji wa bidhaa za mafuta Tanzania wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) kutangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu. Katika bei hizo, watumiaji wa mafuta ya dizeli wameshuhudia ongezeko la bei zaidi ikilinganishwa na wale wa petroli na mafuta ya taa. Kwa…

Read More

Donald Trump Akosolewa na Mshauri wake Kuhusu Vita na Iran

Global Publishers March 17, 2026 0 Comments Mmoja wa washauri wa karibu wa Rais wa Marekani, David Sacks, amemkosoa hadharani Donald Trump kuhusu vita vinavyoendelea dhidi ya Iran, akionya kuwa mzozo huo unaweza kuongezeka na kusababisha hatari ya matumizi ya silaha za nyuklia. Sacks, ambaye ni mshauri wa Trump anayeshughulikia masuala ya akili bandia (AI)…

Read More

BOT yahamasisha kampeni ya malipo kidijitali

Kigoma. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeongeza kasi ya kampeni ya kuhamasisha matumizi ya mifumo ya malipo ya kidijitali badala ya fedha taslimu, ikieleza kuwa hatua hiyo itaimarisha usalama na kupunguza hasara inayotokana na uchakavu wa noti na sarafu. Akizungumza leo Jumamosi, Februari 28, 2026 katika mafunzo ya siku mbili kwa waandishi wa habari kutoka…

Read More

Mke wa Kiongozi Mkuu wa Zamani wa Iran Auawa Nyumbani Kwake

Global Publishers March 2, 2026 0 Comments Kituo cha televisheni ya taifa ya Iran, Channel Two, kimethibitisha kuwa Mansoureh Khojasteh Bagherzadeh, mke wa Kiongozi Mkuu wa zamani wa Iran Ali Khamenei, ameuawa nyumbani kwake. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Bagherzadeh aliuawa katika mazingira ambayo bado hayajawekwa wazi kwa kina na mamlaka za Iran. Awali, magazeti…

Read More