SERIKALI YAWAPA VIJANA NJIA YA MASOKO YA KIMATAIFA

“”””””” **** Serikali imeanzisha mpango maalumu wa kuwaandaa vijana kuwa wawekezaji wakubwa kwa kuwapa mafunzo ya uzalishaji wa kisasa na kuwaunganisha moja kwa moja na masoko ya kimataifa, hatua inayolenga kuimarisha biashara ya nje na kukuza uchumi wa viwanda nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa…

Read More

Mwanafunzi afa maji akienda shuleni

Arusha. Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia Ijumaa Februari 27, 2026 imesababisha kifo cha mwanafunzi mmoja na wawili kuokolewa wakati wakielekea shuleni kupitia kwenye korongo lililokuwa likipitisha maji kutoka maeneo ya miinuko. Mwanafunzi huyo, Daniel  Joseph (11) wa darasa la nne katika Shule Msingi Terrat iliyopo Kata ya Muriet jijini Arusha, mwili wake umehifadhiwa kwenye…

Read More

ZEC yateketeza nyaraka 720,000 za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29

Unguja. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemalizia kazi ya kuteketeza nyaraka 720,000 za uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Kati ya nyaraka hizo 100,000 hazikutumika, zilizotumika Unguja ni nyaraka za kura 461,000 na Pemba kura 159,000. Akizungumza wakati wa kuteketeza nyaraka hizo leo Jumamosi, Februari 28, 2026 katika Shimo la Muungoni Mkoa wa Kusini Unguja,…

Read More

Airtel Tanzania yazindua Maduka 17 ya Smart Shops Dar es Salaam, kukuza Huduma za Kidijitali

 Airtel Tanzania, kampuni inayoongoza huduma za mawasiliano nchini, imezindua maduka mapya 17 ya Airtel Smart Shops jijini Dar es Salaam. Maduka haya ni sehemu ya mtandao wa maduka 31 nchini kote, ukiwa na lengo la kupanua huduma za kidijitali na kuongeza ujumuishaji wa kifedha kwa wananchi. Uzinduzi huo uliofanyika Machi 12, 2026, ulihudhuriwa na Mhe. Angellah…

Read More

Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 yasherekewa kwa Kishindo- Kilombero Sugar

WAFANYAKAZI Wanawake kutoka Kampuni ya Sukari Kilombero walikusanyika kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 chini ya kauli mbiu “Give to Gain” Tukio hili lilijumuisha tafakuri za Uwezeshaji, kushirikishana maarifa, kutambua wafanyakazi walio hudumu muda mrefu na liliheshimiwa kwa uwepo wa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Bi. Diana Mwakitwange, kama Mgeni Rasmi. Kampuni ya Sukari Kilombero…

Read More

UN inatoa wito wa mshikamano na utashi wa kisiasa kukomesha ubaguzi wa rangi – Masuala ya Ulimwenguni

Umati ulikusanyika nje ya kituo cha polisi cha Sharpeville tarehe 21 Machi 1960 “hawakuja na silaha, lakini kwa imani – sio kugawanya jamii, lakini kudai utu wao ndani yake.,” Rais wa Baraza Kuu Annalena Baerbock alikumbuka katika hotuba yake ya ufunguzi. Lakini ukumbusho wa kila mwaka unahusu zaidi ya tukio moja linalojulikana vibaya, alisema, kwani…

Read More

Chuo cha Aga Khan chatoa mafunzo ya malezi bora kwa watoto

Arusha. Katika kuimarisha malezi na makuzi bora kwa watoto, Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU) kimeendesha programu maalumu za kuwajengea uwezo wadau mbalimbali, wakiwamo wawakilishi wa asasi za kiraia zinazojihusisha na maendeleo ya awali ya mtoto. Mradi huo wa mafunzo kuhusu sayansi ya malezi na makuzi ya maendeleo ya awali ya watoto umefanyika leo, Jumamosi,…

Read More

Samia Aongoza Kikao Kizito cha Kamati Kuu CCM Dodoma

Global Publishers February 25, 2026 0 Comments Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma, tarehe 25 Februari, 2026. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri…

Read More